Samson Ernest
@SamsonErnest_
Soma Neno Ukue Kiroho Liwe Jua Iwe Mvua Soma Biblia Yako
USHIRIKIANE NA WAEPUKE MBALI WATU WENYE TABIA YA KIGEUGEU Mit 24:21-22 SUV [21] Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; [22] Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.
![SamsonErnest_'s tweet image. USHIRIKIANE NA WAEPUKE MBALI WATU WENYE TABIA YA KIGEUGEU
Mit 24:21-22 SUV
[21] Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; [22] Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.](https://pbs.twimg.com/media/GscSlfcXMAALeX8.jpg)
Mafanikio sio pesa au umaarufu. Mafanikio ni pale Yesu analiandika Jina lako kwenye KITABU CHA UZIMA
Mambo 5 Kuhusu Kunyamaza: 1. Kimya ni kinga. 2. Kimya ni nguvu. 3. Kimya ni hekima. 4. Kimya ni jibu. 5. Kimya ni ushindi.
Wagalatia 5:22, 23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Marko 10:51-52 [51]Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona. [52]Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani.
Dunia inabadilika, hata watoto kuna vitu inabidi tusiwabane sana bali tuwasimamie tu
Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna ye yote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu. 1 Sam 2:2 SUV
Dunia inampokea mtu na kumweka vile alivyojipa thamani yake mwenyewe
Tubadili mtazamo juu ya watoto wetu, kama ulifikiri watoto hawawezi kushika kitu na kukifanyia kazi, angalia mtoto huyu mpaka mwisho ndio utaelewa nini nakuambia.
Maisha bila Yesu ni sawa na Bure. Yesu ndio Mpango Mzima .. Msisi Dodoma📍
wanasema hauwezi rudisha muda nyuma kubadilisha mwanzo ila unaweza anzia ulipo na ukawa na mwisho mzuri
Wengi wetu tunapoteza nguvu, muda, na ujasiri wa thamani kwa kuota ndoto za mambo yaliyopita, ambayo hayawezi kurudi tena au hatuwezi kuyabadilisha, badala ya kupambana na leo yetu, tunakaa tukiumia kwa mambo yaliyopita.
Kupoteza hicho ulichopoteza sio mwisho wa maisha yako, bali ni mwisho wa kile ulichokizoea na mwanzo mpya wa njia mpya iliyojaa ushindi usio wa kawaida.
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Efe 6:12 SUV
Soma hio app ya biblia kwenye simu yako, una excuse gani kutokusoma neno la Mungu siku Ile hukumuni?
Usifanye moyo kuwa mgumu, mpe Yesu maisha yako hutojutia kwanza hata hulipii ni Bure kabisa
Huo ndio ujanja wa ibilisi ili aendelea kuwavuta wengi. Kama toba haileti badiriko unazidi kusonga na dhambi basi jua wewe uko kwenye majuto wala hujatubu, urudi msabani ukutane naye mwamba akuoshe na kukuondolea tamaa za dhambi.
Watu wanapenda injili laini na tamu, zinazowafariji kwenye dhambi zao