IAmHaule
@IAmHaule
|| Fikra Huru || Malezi ||Clinician || Mambo Matano ||#MaleziNaMaisha ||
Mambo 5 Usiyotakiwa Kulazimisha kwenye Maisha: 1. Mapenzi. 2. Heshima. 3. Marafiki. 4. Maongezi. 5. Mahusiano ya karibu.
Mambo 5 Ya Kukumbuka Kila Siku Asubuhi: 1. Uhai ni neema. 2. Kila siku ni nafasi mpya. 3. Acha cha jana, anza upya. 4. Kila mtu anapambana kivyake. 5. Utulivu wako ni thamani.
Ukifika hatua ambapo maneno ya watu hayakunyimi usingizi jua umekua..
Mambo 5 Ya Kuepuka Ili Uwe Na Amani: 1. Fitina na umbea. 2. Kulaumu kila wakati. 3. Kutoridhika na kidogo. 4. Kuishi maisha ya "kuonekana". 5. Kuingilia maisha ya watu.
Nimekuelewa sana Mwalimu kwa sababu watu wengi hubaki na vipaji vikubwa lakini maisha yao hayaendi popote hawajui kuviongelea kwa ushawishi.
Mambo 5 Yanayoua Hekima : 1. Kiburi cha elimu. 2. Uvivu wa kusikiliza. 3. Kuhukumu haraka. 4. Kutaka kujua kila kitu. 5. Kudharau walioko chini yako.
Mambo 5 Unayopaswa Kuweka Siri: 1. Malengo yako kabla hayajatimia. 2. Maisha yako ya familia. 3. Mapato yako halisi. 4. Maisha ya kiroho. 5. Mipango yako ya muda mrefu.
Kuna watu nawafatilia kwa mentorship. Najifunza vitu vingi kutoka kwao, Tbh mimi ni mfaidika mkubwa wa kazi zao. Ila kitu nataka nikwambie leo ni kwamba: Unaweza kuwa na mentor mkali dunia haijawahi kushuhudia ila usitoboe kwenye mishe zako. Simply... Kama hauna njaa binafsi…
Binafsi sichoki kupanda mema hata kama matokeo yake hayaonekani mara moja.
Jikon kwetu kuna kazi Leo😋🙌🏾 @abriy_suleiman mkali wa jiko🙌🏾 Special oda mwisho kupokea saa nne asubuh Mawasiliano 0629076937📞 whatsapp 0718893552 Delivery popote Dar es salaam 📍kigamboni
Mambo 5 Ya Kukujengea Hekima: 1. Sikiliza zaidi ya kuongea. 2. Usijibu kwa hasira. 3. Tafakari kabla ya kusema. 4. Jifunze kutokana na makosa. 5. Endelea kujifunza.
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 110,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo