Reginard Godliving Michael
@Reginardmichael
Put God 1st and everything else will fall in place!🇹🇿
When people see me,may they see Jesus Christ. #HappyNewYear2024
Dominion and Majesty - Apostle Michael Orokpo,Ph.D.
The Revelation of the Finished Work of Christ - Apostle Michael Orokpo,Ph.D.
Dimensions of Spiritual Authority - Apostle Michael Orokpo,Ph.D.
KUHESABIWA HAKI Thread 🧵 Haki ni hali ya mtu kuwa sawa mbele za Mungu, bila hatia ya dhambi na akiwa amekubalika kwa Mungu. Kwa asili, wanadamu wote wamepungukiwa na utukufu wa Mungu, lakini kwa neema ya Mungu, mtu anaweza kuhesabiwa haki.
Usipoelewa vizuri Fundisho la "KUHESABIWA HAKI" utakua kwenye hatari ya mambo mawili. 1.Kujihesabia haki kwa matendo unayoyafanya. 2.Kuishi dhambini kwasababu tu haki haiji kwa matendo bali kwa imani. Kesho ntafundisha somo hili hapa hapa🚨 Kama upo tayari kujifunza type AMEN
Maisha bila Yesu ni sawa na Bure. Yesu ndio Mpango Mzima .. Msisi Dodoma📍

Rulership in the Spirit - Apostle Michael Orokpo,Ph.D.
Fruitfulness in Relationship - Apostle Michael,Ph.D.
Tujifunze hapa watumishi. Retweet iwafikie wengi✍️




Karibu kujifunza hapa✍️
biblianakanisa.org/tunakusanyika-… Umewahi kuwaza kwanini tunakusanyika au kwanini tunakwenda ibadani? Karibu tujifunze hapa.
BENEFITS OF SOUL WINNING - APOSTLE MICHAEL OROKPO,Ph.D.
biblianakanisa.org/mungu-alikuwa-… Umewahi kujiuliza au kuwaza Mungu alikua wapi wakati anaumba mbingu na nchi? Karibu tujifunze.
biblianakanisa.org/tunakusanyika-… Umewahi kuwaza kwanini tunaenda kanisani? Karibu tujifunze hapa ✍️ @biblianakanisa
Preach the gospel in its simplicity - Apostle Michael Orokpo, Ph.D.
Miaka ya 2017-18 nimewahi kuwa na ndoto za kuanzisha football club & academy nikisoma diary zangu za zamani huwa nafurahi sana na napata passion ya kupambana zaidi. @symply_dee14 unaikumbuka hii?😅


Manifesting Power through Soul Winning - Apostle Michael Orokpo Ph.D.
The Love of the Father The submission of the Son The salvation of man. Isaiah 52:14 TPT “Just as many were appalled at the sight of him (for so marred was his appearance, like an object of horror; he no longer looked like a man),” Isaiah 53:3-5 TPT “He was despised and rejected…
God never intended for us to walk this journey of faith alone. The church is His gift for strength, encouragement, and accountability. ~Reginard Godliving