N I N J A
@Ninja_Damour
#Arsenal | Mdau Mkubwa wa Soka Wilaya ya Ubungo |Wakazi Hajui kuRap|4:20| IG:@ninjadamour
Kutafuta Ni Juu Yako,Kupata Muachie Mungu..!! Ikawe Wiki Njema kwako hii...!!🙌
Dah khalid kweli amesepa bna..
8™️🔥🔥 Tukutane saa 4:00 Usiku kwenye Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Ile ya wizi wa kuku sikuhusika, ni wewe na wanao ndio mashati yenu yalikutwa kichakani 😂
Kumbe mwanangu wizi long time kitambo 😂 ndo mana shule ukaongoza kuiba kuku
Tulienda Christmas kijijini, zikaletwa kreti kibao za soda... Usiku zikabaki Krest (club soda) tukasema tukazifiche kesho tubonde...tukaenda zificha shamba kama soda 15 hv, kesho yake mchana tumepiga pilau tukapeana code tukazibonde...aah kuonja tu kmmk tukasema hiki nini 😬😬
Kumbukumbu yako nzuri ya utotoni ni ipi??
Tukawapandisha gari af si tukatembea ngoja aje nimkumbushe 😂😂
Na mwanao Jamali😂😂
Ya Baridi ?
Natamani safari ila hata sielewi niende wapi, so many destinations, very little time off work 💔💔
Janja ndio maana hana presha kmmk anaenda hadi kujifua kupigana kumbe ana uhakika 😅
Denis Nkane na Young Africans SC📃🔏✍🏽✅ @DenisNkane #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
2004, Manzese - Muhimbili.
What's the longest distance you have walked because you didn't have money?
Huyu atapiga msimu mmoja then atauzwa.
OFFICIAL: Pacöme Zouzoua 🇨🇮 ameongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kuitumikia Young Africans 🇹🇿 hadi 2027 ✅ 26 Kipaji bado yupo #TransferUpdates
Augustine Okejepha huyu hapa. Kiungo mkabaji. MVP wa Nigeria. Performance bora kabisa msimu jana kwenye #CAFCC Tajiri @moodewji kwani nani kakukasirisha? Huyu mtoa roho alikosekana miaka kadhaa kikosini. BAAAS WAMEKWISH (in Joti's Voice) Hii Simba🙌 #RememberTheName
Wanangu mnaofanya Biashara , Mungu awakunjulie aisee. Biashara sio rahisi , kusubiri mtu ambae hamna miadi aje kununua kitu ah 🙌🏿
Au ana tattoo iko kama Logo ya Kappa. lazima awe number 'A'
Sio mweusi tatoo ya ua au nanga ya meli au mkuki