RememberTheName
@albogastbm
'Versatile' Broadcast Journalist | Digital Content Creator | Radio & TV Program Producer | @eastafricatv | @earadiofm | Jiunge na Barca 👇
Habari kwa Maendeleo Endelevu ✍️
#PICHA Mhariri Dawati la Habari EATV/EA Radio Elbogast Myaluko (@albogastbm) (kushoto) akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2022 linalofanyika kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam leo Desemba 17, 2022. #EastAfricaTV
Matokeo vipi ndugu zangu huko? Nilikuwa busy sana leo ndo natulia muda huu. #RememberTheName

Vikosi vya wabane wa soka nchini Wananchi na WenyeNchi hivi hapa. Kwa vikosi hivi nani bingwa wa Ligi Kuu 2025? #RememberTheName

Hatimaye Bwana!!! KINAPIGWA🔥🔥🔥 Umeipokea hii taarifa ukiwa wapi na unaitazama na kuisikiliza #KipengaXtra ukiwa wapi? #RememberTheName

Hatimaye Bwana!!! KINAPIGWA🔥🔥🔥 Umeipokea hii taarifa ukiwa wapi na unaitazama na kuisikiliza #KipengaXtra ukiwa wapi? #RememberTheName

Kwa matokeo haya ya Half Time Yanga anaongoza na Simba anaongoza. Hapo mchawi ni Oktoba 25 kama matokeo yatabaki hivi. #RememberTheName

Leo mimi na @ibrakasuga tunarudisha fomu rasmi ambapo mimi nawania nafasi ya Rais na Makamu wangu ni Mtaalam wa Soka Ibra Kasuga. Karibu tupo LIVE #KipengaXtra muda huu tunanadi sera zetu. Tutazame @eastafricatv na @earadiofm #RememberTheName

Lugha ni moja tu M E S S I ni Man of The Match kwenye timu kutoka Ulaya na yeye akiwa Marekani. #RememberTheName

Jamaa ni simba dam lakini hakuna mahali anaisema yanga vibaya anachambua bila kuweka hisia
Albogast ata kua na kazi nyingine pale tingani maana uchambuzi anafanya akijisikia ila anajua
Albogast BM ni moja ya wachambuzi ambao nawakubali sana anajua kujenga hoja na hana take za kishabiki kwenye black ni black na white ni white.
Swali ni baada ya maamuzi ya #KariakooDerby Je, nani ameshinda Yanga au Simba? Karibu #KipengaXtra LIVE @eastafricatv @earadiofm #RememberTheName

Atletico mafundi wa kujilinda ila wakekula 4-0 hii PSG ya Luis Enrique ni tishio. Timu pekee ya kuwazuia ni Barcelona. #RememberTheName #FifaClubWorldCup

Atletico mafundi wa kujilinda ila wakekula 4-0 hii PSG ya Luis Enrique ni tishio. Timu pekee ya kuwazuia ni Barcelona. #RememberTheName #FifaClubWorldCup

KESHO TUNAKWENDA LIVE! 🎥 Saa 5:00 Asubuhi kupitia @eastafricatv tukisherehekea #SikuYaBabaDuniani 👑 👉 Scan QR Code hii 📲 Kuandika wimbo ambao unadhani unamgusa Mshua wako – sisi tutaicheza hewani tukimuenzi! Usikose! Twende tukumbuke, tusherehekee, tuseme #AhsanteMshua 🙌

Kwa maamuzi haya mpaka Half Time Wananchi Yanga wanaongoza 3-0 dhidi ya TFF, TPLB na Simba Sc. Je, Full Time mnyama atarejea au Wananchi wataendela kuongoza na kuongeza? #RememberTheName

Ndugu yangu @DavidKampista amekumbusha kidogo safari ilikotoka mpaka hapa tulipo tumefika tukiwa tumechoka sana. #RememberTheName

Niliwaambia kwenye kujificha katika kichaka cha kusema tunataka kuuokoa mpira wa Tanzania kupitia Yanga na Simba ni uongo. Haya kelele zinasikika kutokea upande gani huko Simba au Yanga? Wale wa kujiuzulu vipi na wale wa hatuchezi nje ya Jumi 15 vlpi? #RememberTheName