Young Africans SC
@YoungAfricansSC
Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions๐
๐๐๐-๐๐๐๐๐ anazitaka โ๐ฝ msimu huu๐คฉ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐๐๐-๐๐๐ ๐ข๐ amechagua Makombe, Karibu Young Africans SC๐ฐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
You asked for a Super Magicianโฆ weโve signed him. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ช๐ฝ Lassine Kouma ni Mwananchi๐ฐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Ni swala la muda tuโณ Pakua Yanga SC APP๐ฒ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
8โข๏ธ๐ฅ๐ฅ Tukutane saa 4:00 Usiku kwenye Yanga SC APP๐ฒ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Njoo ushuhudie mechi ya ๐๐๐๐๐๐๐๐ kesho KMC Complex๐ฐ๐๐ฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ kwa Wananchi๐ฅ #8 Kaa Tayariโฆ..โณ Pakua na Lipia Yanga SC APP๐ฒ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Ndani ya #TransferTalk ya @YangaSCTV Ricardo Momo amefunguka kuhusu Professor wa Boli @pacom_zouzoua Episode ya 4 ya #TransferTalk inakusubiri wewe Mwananchi ndani Yanga TV (youtube)๐๐ฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Ally Kamwe afunguka jinsi tulivyompata Kocha Romain Mwananchi twende tukaangalie Episode ya 3 ya #TransferTalk Yanga TV( YouTube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) @taifastars_ @caf_online @tplboard @wambura70 @YoungAfricansSC
JUMAMOSI, KMC Complex hii siyo ya kukosaโฆKINAWAKA ๐ฅ๐๐ฟ

Denis Nkane na Young Africans SC๐๐โ๐ฝโ @DenisNkane #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Asumaniiiiiiiiiiiiiiiii Anatakuwepo kesho KMC Complex kukiwasha๐ฅ๐ฅ๐๐ฝ Kata tiketi yako mapemaaaaaaaaaโฌ๏ธ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Mzunguko - 1,000 | VIP B - 3,000 | VIP A - 5,000 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Kutoka kwa @Hansrafael19 hii hapa CV ya Kocha Romain Folz kabla ya kutua Young Africans SC. Mwananchi twende tukaangalie Episode ya 3 ya #TransferTalk Yanga TV( YouTube) Follow @YangaSCTV #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Wa kwetu tayari anabaki, ๐๐๐๐จ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฎ๐ El Professor Pacome๐๐ Taarifa kamili tembelea Yanga SC APP๐ฒ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐!!! Exclusive ndani ya YANGA SC APP๐ฒ Pakua na ufanye ๐๐๐๐๐๐ ya Yanga SC ๐๐๐ kwenye yako, lipia kabisa tukutane Saa 10:00 Jioni๐ฐ๐๐ฝ Rahaaaaa zipo Yanga๐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Alichokisema Kocha wetu mkuu Romain Folz baada ya kutambulishwa rasmi. Tazama video kamili Yanga TV (YouTube) Follow @YangaSCTV ๐๐ฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Ally Kamwe akisimulia usumbufu mkubwa uliotokea kwenye usajili wa Mudathir Yahya Je ni nini kilitokea? tazama sasa Episode ya pili ya #TransferTalk Yanga TV (YouTube) Sponsored by @Gsmgroup_ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
๐ฐ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ฐ โฝ๏ธSafari Lager ๐Young Africans SC ๐๏ธKMC Complex, Mwenge ๐26.07.2025 ๐Kuanzia saa 6 mchana ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Mzunguko - 1,000 | VIP B - 3,000 | VIP A - 5,000 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Hata sisi wenyewe tumekosa picha aliyo tabasamuโฆ..๐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

