tutla Cholo
@tutla7
Nitakupa mahaba ujue 😂
Kama Mpemba tu anavotakaga nimhonge flight ticket eti aje khm😂😂
Hili neno mpaka leo sijaelewa
Sio kwamba sipendi harufu ya kuku wa kienyeji hapana kuwa mginingi naona umuhimu wa kuhoji... @MwanaFA
Kwamba mtu kati sio 😂😂😂😂😂😂utaniua
Anayesainisha Dili kaning'iniza funguo kwenye mkanda sidhani kama malipo yatatoka kwa wakati 😂
Hapa sasa nakuelewa kumbe ndio maana yao hii
Media industry ili uweze kufatwa lazima ujioneshe sana. Na ni vizuri pia
Sio chuki ila kwanini watu hua wana post vitu kama hivo
Sikuiona hii. Hongera mdogo angu @TillahBlessed. Keep soaring.
Yuropa
Mpemba nna swali, hivi ni nchi zipi zinaongoza kwa kuja kutalii zanzibar, Wa-Asia, Wa-America, Wa-Yuropa, Waafrica?
Anaotwa Pono ., ni mzuri kwa mama aliepata mtoto kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa maziwa mwilini , ni katika samaki wenye virutubishi bora kwenye Tanga
Wifi samaki gani hii ya blue?!😅naomba usinicheke plz nieleweshe
Kaka unaweza taja wawili watatu
Ombaomba hana hata Mia na analalamika hapewi badala atafute mwenyewe 😂😂
Hakika taaluma ziheshimiwe
Mtu anapata tu umaarufu kisa comedy tayari anajiita journalist na unamuona kwenye media anatangaza. Wewe uliyesomea course plus ujuzi unapigika mtaani. Taaluma ziheshimiwe
Wanawake wa siku izi hawaamini kwenye haya maisha
How it started vs How it’s going