halle quen💫🥀
@humbleQueen02
Allah is great CEO NISHIKE MKONO FOUNDATION.
Hii ni project yangu mpya kabisa Inaitwa NISHIKE MKONO ambayo nimewashika yatima na waishio kwenye mazingira magumu. Lengo kuu kabisa ni kuweza kunyanyua vipaji vyao na kutimiza ndoto zao natumaini tutakuwa pamoja katika kutimiza ndoto zao retweet ili tupigane kwa pamoja🙏💕

Tumeamua tuishi kwa kuzifurahisha nafsi zetu sababu hata wale tuliowekeana ahadi mwisho wa siku tulibaki Wenyewe✍
Better Than BALTASAR Mwamba Anaonekana Soft Ila Katuwakilisha Wanaume Kwenye Video Zake🫡🙌🏼🔥⬇️
WATIE WATU MOYO MAANA HUJUI NYAKATI WANAZOPITIA Huwezi kumtia mtu moyo basi mwache wala usimwongezee maumivu au mzigo alionao moyoni unamtosha na usipate muda wa kumcheka kwa sababu ya jaribu au pito alilonalo basi usiogope Acha niseme tu usikate tamaa hata hilo litapita
Usiangalie ulipo anguka Tu bali pia angalia ulipo jikwaa Good morning my friends
Before you give up learn this, 👇 Success doesn't come to those move fast, it comes to those who refuse to stop. Every setback is a lesson, every delay is direction and remember that every failure is a form of feedback Good morning to you familia 💛
Tukiambiwa wenye matendo mema ndio wataamka salama, basi leo tungeamka wote marehemu lakini Mungu bado anatupa bonus ya uhai free of charge! 😭😂 Good morning my X family......
Vitu ambavyo hupaswi kuviendekeza kwenye maisha :- A. Pombe B. Ushirikina C. Mapenzi D. Wivu na roho baya.
Mabondia wabongo wanakula wali maharage kumbe ndomana hawana nguvu 😂😂😂
Naomba Msaada wa RT hapa🙏 Ndugu zangu Huu ni wakati wa Kurudi Kwenye Asili zetu, tutumie Dawa za Asili kwa Mustakbari wa Afya zetu imara. Maasai Herbal clinic Kupitia Daktari Bingwa @KimaniDawa wamekuja na Dawa nzuri inayoitwa TOGOLO SYRUP Inatibu na Kukupa Afya katika…
PASI TSH 48,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL
ZIPO DUKANI TSH 55,000 UNAKUA UNASAGA JUICE YAKO FRESH NYUMBANI😋 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL
Hatujui kama tutapata lakini tuna imani na anaetoa 🙏 Good Morning X family.
Philippians 4:6-7 6-Do not be anxious about anything, but in every situation by prayer and petition with thanksgiving, present your requests to God. 7-And the peace of God, which transcends all understanding, will guard your hearts and your minds in Christ Jesus. G.M 🤗🙏
Ni siku nyingine ya kumtanguliza Mungu kwenye kila Jambo, Good morning🌅,