Paschal sam
@PaschalSam1
A good heart will attract blessings.
Kuna ambao wameandaliwa maisha bora na wazazi wao na kuna wengine tumeandaliwa kuwatengenezea maisha bora wazazi wetu. HATUFANANI, kikubwa ni kuheshimiana tu..!
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…
Je Wajua..!! Serikali inaendelea na ujenzi wa BRT Awamu ya III (KM 23.7) kutoka Gongo la Mboto hadi Jangwani. Tayari ujenzi umefikia 47%. #OktobaTunatikiSamia
ABIRIA MILIONI 1.5 KUHUDUMIWA KWA MWAKA Uwanja wa ndege Msalato ni kiwanja cha pili kwa ukubwa nchini ikiwa kimejenga ili kukuza sekta ya uchukuzi nchini. #OktobaTunatikiSamia
Ujenzi wa Barabara za Lami Kijiji cha Nswekwa wilayani Mlele mambo safi Wananchi waipongeza serikali kwa ujenzi wa miundombinu bora ya usafiri na usafirishaji wa watu na bidhaa. #OktobaTunatikiSamia



Tanki kubwa lenye ujazo wa lita 300,000 kama sehemu ya mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya mji wa Shelui. Mradi unanufaisha wananchi 40,000 wa vijiji vya Tinde- Shinyanga na Shelui- Singida. #OktobaTunatikiSamia

Usisahau kuwa, wengi unaowasaidia hawajui kuwa na wewe ulijinyima. Hua wanadhani unavyo vingi na una uwezo wa kusaidia maisha yako yote..!
Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara. Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3. #OktobaTunatikiSamia
Haijalishi wewe ni mwema au mkarimu kiasi gani; Huwezi kumridhisha mtu asiyekuwa na shukurani..! 📌
Serikali inaendelea na ujenzi wa BRT Awamu ya III (KM 23.7) kutoka Gongo la Mboto hadi Jangwani. Tayari ujenzi umefikia 47%. #OktobaTunatikiSamia
Kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi–Masagi kunatarajiwa kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika Kata ya Mtoa, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, na kufungua njia za mawasiliano na masoko ya mazao. #OktobaTunatikiSamia
𝗞𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗽𝗿𝗼𝗴𝗿𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗕𝗕𝗧 𝘃𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗽𝗲𝘄𝗮 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗶𝗺𝗼, 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗶𝘂𝗻𝗱𝗼𝗺𝗯𝗶𝗻𝘂 𝘆𝗮 𝘂𝗺𝘄𝗮𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗮 𝘀𝗼𝗸𝗼 𝗹𝗮 𝘂𝗵𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶. #OktobaTunatikiSamia
𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗸𝘂𝗽𝘂𝗻𝗴𝘂𝘇𝗮 𝗴𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘀𝘂𝗺𝗯𝘂𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗳𝗮𝗿𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗳𝗶𝗴𝗼. 𝗭𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗲 𝟭𝟯𝟳 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝘂𝗷𝗮 𝗱𝗮𝗺𝘂 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗳𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝟭𝟱 𝘇𝗮…