ELIAS🦁
@Eliaskaneke
Believer🙏| I love my life | Formal_Life | Collaborator|Together We can🤝 | God first| my team @youngAfricansSC
Nunua kiwanja umri unaenda....utakaa kwenu/nyumba za kupanga mpaka lini....acha kupoteza pesa zako Kwa mambo ya hovyo🙏
Ukianza kuona kila unapo muuliza kuhusu mabadiliko yake anakujibu "utajua mwenyewe" jua hapo tayali umeshaanza kugongewa bro
Kwaiyo na weekend hii inaisha ukiwa mwenyewe? Na upo kwenye mahusiano au sio? Okay 👍
Usije ukafanya makosa kurudiana na Mtu aliekuumiza na kukushusha thamani kwa kuamini kabadilika 📌🔨
Tambua Thamani yako kisha weka mipaka alafu kuwa tayari kumpoteza yeyote yule atakaye vuka mipaka yako. @SEMHANDO_LMe follow me Asap
Ungependa klabu yako ipate kocha mzee mwenye experience au kijana mwenye njaa ya mafanikio?
Ajabu nyengine ni pamoja na kuwa watu muhimu katika maisha huwa hawaombi sana muda wako, lakini wakitoweka, utatamani ungewapa hata sekunde kumi zaidi. Usisahau kuwajali watu wako wa muhimu!🙌📌
Kitu kinachoniuma nikuambiwa,nimejilazimisha sana kukuingiza moyo ila imekua ngumu..."I think we are two different" Sasa swali langu la msingi,pesa zangu ulikua unachukua za Nini? Pesa haikataliwi baba Ila wachaga🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Anko "Uzuri Wa Chako Hata Kikiwa Kidogo Hakina Masimango, Jifunze Kutafuta Vyakwako Vya Watu Vina Masimango Na DHARAU. 💯