Mkerewe
@DavinciP4
Marcopolo Volkswagen ikikutana na Marcopolo Scania wakapewa ruti moja Dar - Mbeya na wakatoka muda mmoja, halafu VTS zikazimwa. Ni nani atakuwa mbele Uyole?
Kiatu inaitwa ECCO,ni mali safi mno Bei tsh85,000/= Call/whatsp 0654 328893 kwa order Ubora ndio kipaumbele kwetu.
Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) CCM HONGERA SANA: Mmekula Ng’ombe mzima, Msishindwe kula mkia. Kwa moyo wa dhati nawapongeza CCM kwa kuitisha na kuendesha Mkutano Mkuu Maalum kwa mtandao. Nawapongeza zaidi kwa kufanya mabadiliko madogo (kwangu ni makubwa) ya katiba ili…
visually impaired wanasema tuvuke bila kutazama kushoto na kulia 🫵 #islandkid

Usilazimishe mtu akupende bali jipe thamani mpaka yeye mwenyewe akupende kwa Hiyari✍
Walioenda Dodoma kukimbia hawafiki hata 10. Halafu kuna nyie Walevi sasa 😅🙌🏾.
Leo kwenye Foleni ya mihogo nilikuwa mtu wa tatu ila bado nimefanikiwa kukosa mihogo. Mshikaji wa kwanza aliagizwa na wanae 12 na Mshikaji wa pili aliagizwa na wanae 13 Kwa lugha rahisi ni kama nilikuwa mtu wa 25 😥 Hii tabia ya kuchukuliana Mihogo muiache wanangu
Mtumba Safi, unyunyu kidogo na English kwambaaaali wanajua ulipata kazi😄

TUPO HAPA! Uvuvi Kutoka ZUBERI & KISESA✅ @DavinciP4 @maila_kasorii @TBoundBuses @kisesa
Ndio nagundua saivi kwanini wadau wa ile kitu wamekataa SGR 😂😂
Mambo 15 Niliyojifunza kutoka kwa watumishi wa Umma Serikalini:🧵 (REPOST & BOOKMARK) Kama umewahi kufanya kazi serikalini au unafikiria kuingia huko, haya ni mambo muhimu ya kujifunza mapema. THREAD ⤵️
PCM akiwaga Bench ni kama hayupo kabisa kikosini, we mpe kazi sasa. Kwa kukusanya watu huyu jamaa sijawahi ona mwanasiasa wa kumzidi, hasa kwa siku za hivi karibuni, hakuna mkokoten, wala fuso la kusomba watu, ni wao na miguu yao wanakujaga. Tumpe maua yake 🌹🌹
Madereva wengi wakiwa bench salam huwa nyingi sana kwa wana, subiri sasa apate kazi SALAMU nayo inaendaga likizo kabisaaa sijui kwanini....😅🏃🏾♂️
Kwa miaka hii sidhani😄 ila enzi zetu miaka ile unamfulia kwa kujipendekeza akuone una adabu ili awe anakupa chuma walau kipande kirefu...
Watu wa road tuache kudharau vijana waliopo chini yetu (Turnboy) kisa tu we dereva... Ipo siku huyo huyo unaemdharau leo, ndie dereva ajae wa kampuni fulani na lolote linaweza kutokea. Life's changes budah!😎🤟🏿 TUACHE USHAMBA NA MAJIVUNO YASIYO KUWA NA TIJA....📌
Kama ww ni #DEREVA jobless upo Mwanza au Geita.l mchongo huu hapa. - Kuna boss anahitaji dereva wa kumuendesha yeye na familia yake, hakikisha una leseni 'D' cheti cha VETA, uwe smart na ujue majukum yako ya kazi!! Gari ni mpyaa..🚙🔥 #jobseekers Like, RT ifike mbalii ^DM