𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
@kirigitim
𝐁𝐞 𝐬𝐦𝐚𝐫𝐭 𝐚𝐥𝐰𝐚𝐲𝐬 𝐛𝐞𝐜𝐚𝐮𝐬𝐞 𝐧𝐨 𝐨𝐧𝐞 𝐜𝐚𝐫𝐞𝐬 𝐚𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐄𝐅𝐅𝐎𝐑𝐓𝐒 , 𝐨𝐧𝐥𝐲 𝐑𝐄𝐒𝐔𝐋𝐓𝐒.
Marcopolo Volkswagen ikikutana na Marcopolo Scania wakapewa ruti moja Dar - Mbeya na wakatoka muda mmoja, halafu VTS zikazimwa. Ni nani atakuwa mbele Uyole?

Kutoka Dar - Mwanza kwa Wakurugenzi Top 10, Ally's 🌟 ndo Mkurugenzi pekee anayetembeza gari namba EF na EH la matajiri, lakini bado hadhi na ubora wa huduma ni wa juu kuliko Wakurugenzi wote. Wakurugenzi wengine wote wapo EJ - EM Series lakini bado wanahenya kwa EFE. Legend✔️.

Ni kwanini mabasi mengi sana tokea hapo kale yamekuwa yakipendelea sentensi hizi mbili? ✔️IN GOD WE TRUST ✔️INSHAALAH Ni nini siri ya hizi sentensi kwenye mabasi?

Hii picha imepigwa leo. T501 EFE chungwa kuu, ilikuwa inasubiria abiria ambaye alichanganya mabasi pale SHY HQ na kujikuta anarudi Dar. Hivyo taarifa zinazotembea zina lengo la kuichafua kampuni. Hatutasita kuwashughulikia ki-ulaloulalo wote. Ahsanteni.

Hii picha ya T948 EBF imepigwa jana kabla ya safari kuelekea Mwanza. T948 EBF imetimiza miaka 10 rasmi leo ikiwa na historia zifuatazo. ✔️ Imeua EBR, ECR, EDR na DXE. ✔️Haijawahi kuguswa injini wala gia boksi. ✔️Chuma ya kwanza bei ghali Tanzania nzima. ✔️Hajawahi kutaga.

Huyu mwamba ana basi nyingi sana alaf anaztunza, na ktk michina yote dragon ndizo basi imara zaidi 🚃🚋yaani yuko #OnPoint≈ #OnTarget #OnTime≈
Hata chakaby alianza hv hv mtapiga kelele sana ila polo bongo hii ni katarama tu
Ni mara 100 nipande G7 za Cash kuliko zile za Mikopo. Hapa mchawi madereva pekee. Akuje tumuuzie angalau wawili wa kuziweka mbele hizo G7. Baada ya mwezi mmoja, za mikopo zinapaki zenyewe.
Hongera kwao kwa kujitoa kuchangia Damu. Ninaunga mkono uchagiaji damu. Ndugu zetu hospitali wanauhitaji na damu sana. Ukiweza kuchangia damu, ninakuomba ufanyehivyo. #ChangiaDamuOkoaMaisha
BUGANDO YAENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA. Washiriki na wawakilishi wa Miss Universe Tanzania 2025 kutoka Kanda ya Ziwa wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Leo julai 25, 2025 lengo likiwa kuchangia damu.
Nipate mmoja kaa huyu. Ninamuweka Usagara pale. Yakipita yake ya ma puti na mabati, yanakula shoti yanawaka😀.
Robot Dog Vs Normal Dog 🐕 😅
Sema hizi Dragon zikifika, asee watu wa Bonyokwa tutafaidika sana.

Ni mara 100 nipande G7 za Cash kuliko zile za Mikopo. Hapa mchawi madereva pekee. Akuje tumuuzie angalau wawili wa kuziweka mbele hizo G7. Baada ya mwezi mmoja, za mikopo zinapaki zenyewe.

T501 EFE, Chungwa Kuu Iite Kylian Mbape. Imetimiza miaka mitano (5) njiani leo tokea ianze saari zake Dar - Mwanza huku ikiwa na rekodi zifuatazo. ✔️Haijawahi kutaga. ✔️Haijawahi kuguswa injini wala gia boksi. ✔️Imekula G7 na I6s zote. ✔️Inasukumwa na vijana wadogo sana.
