Tebbe 🫦
@ms_tebbe
Nauza nguo za mtumba za watoto gradeA,na mpya.Pia nauza pochi za kike,viatu za kiume.PITIA PHOTOS KUTAZAMA BIDHAA
Hello Bei tsh100,000 Call/whatsp 0654 328893 Delivery tunafanya Karibu sana,ubora ndio kipaumbele.




Vitu ambavyo hupaswi kuviendekeza kwenye maisha :- A. Pombe B. Ushirikina C. Mapenzi D. Wivu na roho baya.
Usikubali yaliyopita yakufunge mikono Jana imepita na leo ni zawadi kutoka kwa Mungu. GOOD MORNING X LOVER’S.
Better Than BALTASAR Mwamba Anaonekana Soft Ila Katuwakilisha Wanaume Kwenye Video Zake🫡🙌🏼🔥⬇️
Before you give up learn this, 👇 Success doesn't come to those move fast, it comes to those who refuse to stop. Every setback is a lesson, every delay is direction and remember that every failure is a form of feedback Good morning to you familia 💛
Kijana Mapenzi yakikuzidi akili, ukaamua kuoa single mother. Hakikisha mtoto anaishi na baba yake, huyo mtoto awe anakuja kumsalimia mama yake sio mama kwenda kumsalimia mwanae.
Bro Chagua Wife Material moja hapa... 1: Mwenye Certificate 2: Mwenye Diploma 3: Mwenye Degree 4: Standard Seven
Zaburi 25:6 Ee BWANA, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani. Jumapili njema😍
Good morning, Tupost afu twende ibadaniii DEEP FRYER 4L TSH 80,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL KARIBU NA MARIOTI HOTEL MIKOA YOTE TUNATUMA
Good morning wapendwa WHITE DINNER SET KAMA ILIVYO PICHANI TSH 50,000 0755 693 113 📍 DUKA LIPO UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE TUNATUMA @Sativa255 @MiriamMkanaka
Naomba retweets hapa wakuu 🚨 HABARI NJEMA! 🚨 🌟 AIRTEL 5G ROUTER 🌟 ✅ Kasi Bila Mipaka – Furahia intaneti yenye kasi popote ulipo! ✅ Bando la Mwezi Bila Kikomo – Tumia bila hofu ya kumaliza kifurushi. ✅ Unganisha hadi vifaa 64 kwa familia yako au ofisi kwa ufanisi zaidi.