𝗭𝗘𝗗
@zed_officia
𝗨𝗭𝗜🧵only advice
Lile WAZO unapataga ukiwa BAFUNI/CHOONI lifanyike kazi. Acha kusita📌
Tabu bado ipo pale pale wapinzani wataendelea kuita maji mmaa MVP bado yupo sana Jangwani 😂🫵
Kwanini marekani wanatumia kingereza kwani wenyewe hawana lugha yao ?
Nyie mazunye wenye dar yenu mbona siwaoni leo panawaka wapi
Hakikisha unakua Kama Mboo ukilala unaamka tena unaendelea na maisha usiwe kama Matiti unalala mazima.🦾🦾🦾 #BusaraZaPapiiKhan
Kwenye maisha usije kuwaamini watu hawa kamwe -Mwanamke -Mwanasiasa -Mwanamke -Mwanasiasa -MWANAMKEEEEEEEEE😎
Mazunye ambao mpo kariakoo tuonane nipo pande hizi toka asubuh shariti ujue kuzinesa 😎
""Nasisitiza! Kitu nimekataa kwenye maisha yangu Ni dharau kutoka kwa msichana ....✍️!""
Hivi ni kitu gani kinafanya wanetu muwahi kuoa🤔 -Mnajiweza kimaisha -Mmeichoka amani ya kuwa Single -Mnatimiza andiko la Mungu -Mnakurupuka tu -Mnataka muwe mnaichapa daily🤔
Kwahiyo yanga wameamua kutuiga tena wameenda kuleta kocha kijana na kauzu kama Fadlu sio!? 😂😂💔
Naomba retweets hapa wakuu 🚨 HABARI NJEMA! 🚨 🌟 AIRTEL 5G ROUTER 🌟 ✅ Kasi Bila Mipaka – Furahia intaneti yenye kasi popote ulipo! ✅ Bando la Mwezi Bila Kikomo – Tumia bila hofu ya kumaliza kifurushi. ✅ Unganisha hadi vifaa 64 kwa familia yako au ofisi kwa ufanisi zaidi.