P
P•
@28_prb
no hard feelings !
West side
Joined November 2022
2KFollowing
4KFollowers
Pinned
P
P
P
P
P
P
P
P
P•@28_prb · 15 h
ripoti za CAG ndio zinafanyaga watu waone hizi kodi tunasanyia kwenye mifuko ya watu wachache ambao hawajui ugumu wa utafutaji ndio maana wana misuse hela za umma
2
4
18
0
296
P
P•@28_prb · 15 h
kodi zipo nyingi na watu wanalipa lakini hazijawai kutufanyia wepesi zaidi ya kuongeza gharama kwenye bidhaa na huduma.
1
0
15
0
440
P
P
P
P
P•@28_prb · Jul 24
ufunze moyo wako kupokea maumivu bila kupiga makelele na lawama out here kila mtu anakapatia, focus na kujitatulia mashida yako polepole.
2
6
26
0
583
P
P
P•@28_prb · Jul 23
na kuna siku unaamka kila mwamba anaekuja anataka kukopa afu wote ukiwacheki ni wana unakua huna option hela zinahepa shwaa! 😂
Wanangu mnaofanya Biashara , Mungu awakunjulie aisee. Biashara sio rahisi , kusubiri mtu ambae hamna miadi aje kununua kitu ah 🙌🏿
1
0
5
0
239
P