winharder_
@winharder_
Entrepreneur/ Teacher/Digital Advocacy officer/ Safe Online Space Diplomat / #SOSDiplomats #UstawiSalamaMtandaoni #RoadSafetyAmbassador/ #YangaSc
Huyu ndio fundi nguo wa kwanza Afrika Mashariki mwaka 1890. Anaitwa Charan Singh lakini wazee walishindwa kutamka vizuri jina lake wakamwita Cherehani. #ElimikaWikiendi

Mambo vipi mwanajukwaa. Karibu kwenye kipindi cha #ElimikaWikiendi jumamosi hii. ๐๏ธ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ค๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฃ๐๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐๐ก๐ฎ๐จ๐ง๐ข. Usikose kufuatilia! #MindyourMind
Ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam mkoani Lindi umefikia asilimia 65. Kitatoa elimu ya kilimo, ikiwa ni mwendelezo wa Mama kuipa sekta hiyo msukumo zaidi akitambua kuwa imetoa ajira kwa zaidi ya asilimia 60 ya wananchi. #OktobaTunatikiSamia
๐ฅMaadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika tarehe 25 Julai 2025, katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mtumba, jijini Dodoma. #SikuYaMashujaa2025 #DiraYaSamia #kazinaututunasongambele @SuluhuSamia @ikulumawasliano
Naomba retweets hapa wakuu ๐จ HABARI NJEMA! ๐จ ๐ AIRTEL 5G ROUTER ๐ โ Kasi Bila Mipaka โ Furahia intaneti yenye kasi popote ulipo! โ Bando la Mwezi Bila Kikomo โ Tumia bila hofu ya kumaliza kifurushi. โ Unganisha hadi vifaa 64 kwa familia yako au ofisi kwa ufanisi zaidi.
Story ya Lilian Alifanyaje? Atazungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace usikose.
Karibuni kwenye #ElimikaWikiendi XSpaces jumamosi hii Mada: Afya ya akili kwa vijana shuleni na vyuoni.




Afya ya akili ni msingi wa mafanikio ya kijana. Shiriki kwenye wasaa wa MAKUZI YA LUGHA kwa methali, nahau, misemo na dondoo za afya ya akili. #ElimikaWikiendi #MindyourMind
10 za Je,wajua. Zitahesabiwa na @Classickizito usikose kufuatilia. #ElimikaWikiendi
Ungana nasi kwenye #ElimikaWikiendi X-space. Tutakuwa na @BeingMollel atakayesimulia safari yake ya kupambana na changamoto za afya ya akili hadi kupata msaada๐ Mwanasaikolojia @Living_nky atao elimu na ushauri kwa vijana. Mwongoza mjadala wetu ni @CKapilima Usikose!
Wazungumzaji wetu kwenye #ElimikaWikiendi Spaces. Usikose kufuatilia jumamosi hii kuanzia saa 3:00 โ 5:00 Asubuhi #MindyourMind
Usikose kufuatilia #ElimikaWikiendi Xspace jumamosi hii Kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi. x.com/i/spaces/1yoKMโฆ
Ni vema kila taaluma ikafanywa na wana taaluma Je hawa wanaolalamikia kina masoud na kudai wamefungiwa Je wako tayari kuendeshwa kwenye gari na dereva asiye na mafunzo wala leseni kisa ni mzoefu wa kuendesha bila leseni? Mbona tunadharau taaluma???? Halafu mnalalama hawalipw
Okoa zaidi ya 30% ya gharama za ujenzi kwa kutumia Interlocking bricks FAIDA -Hazijengewi kwa kutumia udongo wala cement -Huna haja ya kupiga Plasta -Bei nafuu kulinganisha na Tofali za kawaida . Bei ni Tsh.700/= Dar, Mikoani ni Tsh.800/= . Tupigie 0764-635014
30% OFF Tiketi za ABCD! ๐ฅ Muda ni sasa! Usikose nafasi hii ya kipekee ya ku-save 30% kwenye tiketi zako za Africa Bitcoin Conference Diaspora Edition (ABCD) kule Boston, August hii! ๐บ๐ธ๐ ๐ Book now: afrobitcoin.org/abcd #AfricaBitcoinConference
Leo tuna #BreakinNews nyingi sanaa kama mchanga Tukutane sa mbili hapa hapa X Space kwa @MissChelsea1221 @FKihamu @PKishamba @PresenterNoah #UkikosaUtaliaSana

Uturi๐๐๐ฅ Wale wa kusmell sweet and delicious๐ You want to smell edible? Wear one of these scents๐ โ๏ธ0767193770 @GraceNguo @Happie_Thom @queeen_minah @MiriamMkanaka
Tarehe 31 Julai 2025, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Bandari Kavu ya Kwala. Bandari inatarajiwa kuhudumia shehena ya makontena 823 kwa siku na hivyo kupunguza kwa kiwango kikubwa msongamano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam. #OktobaTunatikiSamia
Ndani ya uongozi wa Rais Samia Suluhu mashine ya kwanza ya PET CT Scan imenunuliwa na kufungwa katika hospitali ya Ocean Road. Mahine hii itawezesha ugunduzi na matibabu ya haraka kwa watu wenye saratani. #OktobaTunatikiSamia
Fuatilia moja kwa moja Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, yanayofanyika Mtumba โ Dodoma leo tarehe 25 Julai 2025, yakiongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. #SikuYaMashujaa2025 @ikulumawasliano @SuluhuSamia #DiraYaSamia youtube.com/live/vvJ8gjVKhโฆ