Neema Paul
@Bless_paula26
Philosopher | Entrepreneur | Digital Content creator
Vijana wanapokuwa vyuoni hupata marafiki tofauti tofauti na mbaya zaidi wengine si wazuri huwashawishi kuingia kwenye tabia mbaya kama ulevi wa kupindukia unaoathiri uwezo wake na saikolojia. @GloryLivingst13, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace
Vijana wakiwa vyuoni wanapitia changamoto nyingi zinazotokana na makundi rika pia ugumu wa maisha ni vyema kukawa na utaratibu wa msaada wa kisaikolojia kupitia vipindi ili wawe salama kiakili. @GloryLivingst13, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace.
Wana mwili wenye urefu wa takriban 1.2 hadi 1.8 mita (katika mguu na mkia) na uzito wa kati ya 30 hadi 90 kilo, huku wanawake wakizidiwa uzito kidogo na wanaume. Ni haraka, wepesi, na wanasifika kwa ustadi mkubwa wa kujificha — mara nyingi huwinda 👇
🐆 Je, Unajua ...? Duma wanaweza kuwaua wanyama wenye uzito mara tatu zaidi ya wao wenyewe! #ElimikaWikiendi 🧵👇
Je, Unajua Kwamba...? Fisi mara nyingi huiba chakula kutoka kwa duma kwa sababu ni njia rahisi ya kupata mlo. Fisi ni wanyama wanaokula kwa kuiba au kutumia fursa — watakula chochote wanachoweza kukipata, iwe wamekiua wenyewe au wamekuta tayari. #ElimikaWikiendi 👇
Ugomvi baina ya wazazi huacha athari kubwa kwa afya ya akili ya vijana. Huibua maswali magumu na kuwa chanzo cha msongo wa mawazo na majeraha ya kiakili yasiyoonekana. Mwanasaikolojia @living_nky34475, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace
Mradi wa Nishati Safi ya Kupikia pamoja katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Manyara. Huu ni mpango mkakati wa utunzaji wa mazingira na kuhakikisha matumizi ya nishati yanafikia 80% kufikia 2034 #OktobaTunatikiSamia
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; ~Waebrania 12¦14
Elimu bora kwa wote. Serikali kupitia mkakati wake wa kila mtoto kupata akili kumekuwa na ongezeko la wanafunzi ✅Darasa la kwanza kutoka 55,878 mwaka 2020 hadi kufikia 67,155 mwaka 2025. ✅Kidato cha kwanza kutoka 23,376 mwaka 2020 hadi kufikia 28,190 #OktobaTunatikiSamia
Komamanga ni matunda muhimu kwa wanaume ambayo huweza kusaidia kuongeza kiwango cha homoni za kiume (testosterone) 🔵Hutibu minyoo na kuondoa sumu mwilini #ElimikaWikiendi
𝐒𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐲𝐚 𝐋𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 Leo hii kwenye #ElimikaWikiendi tutakuwa na @BeingMollel ambaye atasimulia safari yake ya changamoto ya afya ya akili hadi kupata msaada na sasa yupo vizuri. Kuna mengi ya kujifunza kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi hii #MindyourMind
Ifikapo saa 3:00 - 5:00 Asubuhi hii. #ElimikaWikiendi Xspace Ungana nasi kupitia link hii: x.com/i/spaces/1yoKM… #MindyourMind
Tuendelee na #ElimikaWikiendi then mje kwenye SALE ya #JustFit
#ElimikaWikiendi Xspace 🎙️ Karibu kwenye mjadala wetu leo: Afya ya akili kwa vijana shuleni na vyuoni. Fuatilia 𝐒𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐲𝐚 𝐋𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 aliyepitia changamoto ya afya ya akili na alipataje msaada #MindyourMind Link: x.com/i/spaces/1yoKM…
Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. #ElimikaWikiendi
Bahati Ikibisha Hodi Nyumbani Kwako Ni Sharti Ufungue Mlango Mwenyewe. #ElimikaWikiendi
Muda mwingine maisha hutufunza kuwasamehe wasio na hatia #ElimikaWikiendi