Eric
@EricMaswi
Nature I Travel I World I Tanzania I Mwananchi I ManUtd #BeautifulTanzania ❌ Facebook
Mwenye picha kali ya Madam President Dkt Samia Suluhu Hassan kuzidi hii aiweke hapa.🤩🤩👇

Be a priority, not an option. When you accept being an option, you lower your value without knowing. People treat you how you allow them to. Demand respect by walking away from confusion. A man who knows his worth never competes for attention. Either you’re chosen or you leave.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 youtube.com/live/A7GtfeFJw…
WAKULIMA SASA HAWANA SHIDA MAMA; ✔️Ameongeza mtaji Benki ya Kilimo (TABD) kwa 346.7% kutoka sh. 60bn/-2021, hadi Sh 268bn/-2022 ✔️Amepunguza riba ya mikopo ya kilimo kutoka 20% hadi 9% ✔️Mbolea kutoka nje ameiwekea ruzuku, ya ndani ameondoa VAT #OktobaTunatikiSamia
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu amewataka wajumbe kuzingatia matakwa ya wananchi wakati wa kura za maoni. #OktobaTunatikiSamia
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…
Serikali inaendelea na ujenzi wa BRT Awamu ya III (KM 23.7) kutoka Gongo la Mboto hadi Jangwani. Tayari ujenzi umefikia 47%. #OktobaTunatikiSamia
𝗞𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗽𝗿𝗼𝗴𝗿𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗕𝗕𝗧 𝘃𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗽𝗲𝘄𝗮 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗶𝗺𝗼, 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗶𝘂𝗻𝗱𝗼𝗺𝗯𝗶𝗻𝘂 𝘆𝗮 𝘂𝗺𝘄𝗮𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗮 𝘀𝗼𝗸𝗼 𝗹𝗮 𝘂𝗵𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶. #OktobaTunatikiSamia
Wananchi wa Kata ya Wangi wamemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Kituo cha Afya Wangi kilichowapunguzia adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta matibabu. #OktobaTunatikiSamia
#Mwananchi Get Ready...⏳️🔰 For More Information Download and Pay the 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗔𝗣𝗣📲 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko
📍 Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, Dodoma Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao ambao umepitisha mabadiliko madogo ya katiba ya chama. #OktobaTunatikiSamia
Mama amefanikisha upatikanaji wa nishati ya umeme kwa wananchi wote mijini na vijijini. #OktobaTunatikiSamia

Ongezeko la shule za sekondari la asilimia 26.68 limeboresha upatikanaji wa elimu karibu na makazi ya wanafunzi na kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani. #OktobaTunatikiSamia
Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, imeanzisha mradi wa bwawa la ufugaji wa samaki katika eneo la Itigi Majengo, ambalo litatumika kama shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufugaji bora wa samaki kwa wananchi wa halmashauri hiyo. #OktobaTunatikiSamia
Mwaka 2024, shughuli za uchukuzi na uhifadhi mizigo zilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.1 mwaka 2023. #OktobaTunatikiSamia
Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, imeanzisha mradi wa bwawa la ufugaji wa samaki katika eneo la Itigi Majengo, ambalo litatumika kama shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufugaji bora wa samaki kwa wananchi wa halmashauri hiyo. #OktobaTunatikiSamia
Je Wajua..?? WAKULIMA SASA HAWANA SHIDA MAMA; ✔️Ameongeza mtaji Benki ya Kilimo (TABD) kwa 346.7% kutoka sh. 60bn/-2021, hadi Sh 268bn/-2022 ✔️Amepunguza riba ya mikopo ya kilimo kutoka 20% hadi 9% ✔️Mbolea kutoka nje ameiwekea ruzuku, ya ndani ameondoa VAT…
🏫𝗝𝘂𝗺𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗦𝗵𝘂𝗹𝗲 𝟮𝟲 𝘇𝗮 𝗦𝗲𝗸𝗼𝗻𝗱𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘇𝗮 𝗪𝗮𝘀𝗶𝗰𝗵𝗮𝗻𝗮 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗷𝗲𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮. 👩🎓𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗻𝗶 𝗸𝘂𝗱𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝟭𝟬𝟬𝟬 𝘄𝗮 𝗸𝗶𝗱𝗮𝘁𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗵𝗮𝗱𝗶…
Rais na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, ameweka historia mpya kwa kuendesha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa kwa njia ya mtandaoni — ishara ya uongozi wa kisasa unaokumbatia teknolojia kwa maendeleo ya chama na taifa. 🗓️ 26 Julai 2025 #KaziNaUtu #TunaeongaMbele