Patrick Nahunda
@patricknahunda
JESUS CHRIST Saved Me|Us.
Pitisha kijana wako kwenye mkondo wa Certificate ➡️ Diploma. Hakikisha anafanya kozi yenye vitendo ... mfano, upimaji ardhi, utaalamu wa umeme wa magari, automotive software engineering, machine tools, landscaping, oil and mining engineering Msisitizie ajibidiishe kufanya…
A great reminder from my father @BillyGraham.
Ukianza mradi wowote tegemea 1. Wivu/husda 2. Kwatu kutaka kukukwamisha/roadblockers 3. Uchawi Ni wakati wa kuomba kuliko wakati wowote kwa sababu ni vita makombola yanayotumwa huwa ni hatari.
Ukimchukia mtu sana unakuwa mtumwa wake halafu anafanikiwa
Pale ambapo Ukijua Yesu ni kakako aani, 😊 kale kafiling😂, unatembea ukiamini unapiganiwa na kakako Yesu, -"Yesu, ambaye anawafanya watu kuwa watakatifu, ...Hivyo haoni aibu kuwaita kaka na dada zake" Waebrania 2:11 BHN
Bwana kama wewe Ungehesabu maovu yetu Nani angesimama Mbele yako. Zaburi 130:3
“Satan continues his efforts to make sin less offensive, heaven less appealing, hell less horrific and the Gospel less urgent.” John MacArthur
MUNGU akigusa maisha yako akakupa mafanikio na Utajiri, daima kumbuka kuwa mwaminifu kwake. Tumia Utajiri wako kulisha familia za wenye njaa, fanikisha ndoto za wengine na fungua milango ya fursa ya wahitaji. Utajiri wako usiwe kwa ajili yako tu bali uwe kwa manufaa ya wengi.
The poorest person in the world is the person without Jesus Christ!
Unachagua dhambi zako chache unatulia nazo. Halafu kupoza hatia unawahukumu waliochagua dhambi usizozipenda wewe.
Dini inakutengenezea ‘kundi langu’ uwaone wasio kundini ni wapagani, wa mataifa, makafikr wasiostahili unachostahili. Dini inakufungia kwenye sanduku linalokuzuia kujifunza nje ya mawanda yaliyoainishwa ‘kitaasisi.’ Imani (spirituality), tofauti na dini, inakunyenyekeza uwaone…
Dini inahusudu zaidi sura ya nje inayofanana na matarajio ya kundi (performance) kuliko badiliko la ndani (character). Ukishika dini (religiosity) unajiweka kwenye hatari ya kuamini usichokielewa, kuwahukumu, kuwachukia na hata kuwaumiza wasio wa dini yako. Imani, tofauti na…
Mafarisayo, washika dini na torati, walitumia uelewa wa torati kufichua dhambi za wenzao badala ya kumulika dhambi zao wenyewe. Walimshitaki mwanamke aliyefumaniwa si kwa kuchukia dhambi bali kwa kujihesabia haki. Yesu, adui wa dini, aliuona unafiki wao kuwa ndio dhambi ya…
Unaweza kuwa na imani thabiti bila dini. Unaweza kumcha Mungu bila kuukabidhi ufahamu wako kwa kiongozi wa dini.