Son of God
@EliabuDanford
Born of God, New creation, Eternal Life, Master builder, Springs of wisdom, Investor in Real estate & Technology.
Kwenye mfululizo wa mafundisho ya msingi/ya kukulia wokovu kipengele kinachofuata ni maana ya KUZALIWA MARA YA PILI. Yohana 3:3 Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu. Join us: chat.whatsapp.com/FcOsSbYHlQfJuJ…

I'm sure God will bless us abundantly, if we hang on there, let's keep pushing.
I'm excited to start again. Mungu abariki kazi za mikono yetu amen.🙏🙏

You need to flock with like-minded people, people who see at your level to be able to bright forth your dreams else your dreams maybe corrupted.
Big dreams which are not fed to Its magnitude won't be able to bear to it's fullest potential. It's not enough to dream when you're not feeding it adequately.
Dream big feed, your dream with big dreamers. You will be surprised as to what's going to come out of you.
Ukianza project yoyote Mungu atakutumia neno. Akikutumia neno ni uhakikisho/guarantee ya kufanikisha hiyo project.
Wakati Zerubabeli anaanza kazi ya Kujenga hekalu Yerusalemu Mungu alisema kwa mikono hii utaanza na kumaliza. Halafu mbele yake kuna lugha ya picha mzeituni unatoa mafuta. Ni mafuta/upako/anointing ya kazi juu ya mtu inayomwezesha kuanza na kumaliza kazi aliyoagizwa.
Kuna muda una-feel anointing ya Robo Mtakatifu, anakukandamiza kama vine amekukalia au ameweka jiwe juu yako kiasi ambacho hata kupumua inakuwa kama shida fulani. Ujue anakuhimiza kuharakisha kufanya jambo alilokuamuru.
Roho Mtakatifu akikuamuru kufanya kitu, hakuachi mpaka umalize. You will always feel that nagging in your heart.
Dream big, sit around big dreamers. You eventually will realize your dreams.
Zekaria 4:10 Maana ni nani aliyeidharau siku ya mambo madogo? Kwa kuwa watafurahi, nao wataiona timazi katika mkono wa Zerubabeli; naam, hizi saba ndizo macho ya Bwana; yapiga mbio huko na huko duniani mwote.

Mambo 5 Kuhusu Kunyamaza: 1. Kimya ni kinga. 2. Kimya ni nguvu. 3. Kimya ni hekima. 4. Kimya ni jibu. 5. Kimya ni ushindi.
Mambo Matano Yanayochelewesha Maendeleo Yako: 1.Kuogopa maoni ya watu. 2.Kulaumu kila mtu . 3.Kuweka malengo bila mipango. 4.Kutojifunza kutoka kwa makosa. 5.Kukwepa maamuzi magumu.
Your Life Your Purpose!! Usijikatie tamaa. Unaandaliwa kwa ajili ya makubwa yajayo. Mungu atakuinua tu siku moja. Wacha utukanwe, Wacha uchekwe, Wacha Usimangwe! MUNGU hajakuacha, yuko karibu kuliko hata ngozi yako. Achana na kelele za watu, Mtegemee MUNGU pekee!