Christian Bwaya
@bwaya
U S H U N U Z I — P S Y C H O L O G Y
Maisha yanatubadilisha. Kadri tunavyokua watu wazima ndivyo tunavyoanza kujali zaidi mambo makubwa makubwa kama hadhi, heshima na mamlaka kuliko urahisi wa maisha unaoambatana na tabia zinazoonekana kuwa za kitoto —kuufurahia wakati uliopo bila hofu ya makosa ya jana na mipango…
@bwaya King’reza
It’s how he thought she can’t speak English. Don’t judge someone until you’ve walked a mile in their shoes.
Pamoja na kuwa maoni haya hayawakilishi msimamo wa UDOM, umenielewesha vema. Ahsante sana.
Tafsiri tatu za mabadiliko makubwa ya muundo wa shahada za ualimu. #Elimu via @MwananchiNews
Tafsiri tatu za mabadiliko makubwa ya muundo wa shahada za ualimu. #Elimu via @MwananchiNews

@bwaya
Pande mbili za kufutwa kwa shahada za elimu ya ualimu mwananchi.co.tz/mw/habari/maka…
Pande mbili za kufutwa kwa shahada za elimu ya ualimu mwananchi.co.tz/mw/habari/maka…
Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’ Soma simulizi la Recho kupitia @MwananchiNews #Ushunuzi

Point nzuri sana-lakini pia tusiwanyanyapae wadada waliozaa bila ndoa, au walio achika na kulea watoto wao. Kwenye mahusiano ya mume na mke, au boyfriend na girlfriend sio yote yafikia malengo. Unyanyapaa unalenga sehem moja ya ma single mother tu, kuna masingle father pia.
📍📌
Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’ Soma simulizi la Recho kupitia @MwananchiNews #Ushunuzi
We are emotional beings who justify our beliefs through rationality
Most people are driven by emotions, identity, and confirmation bias, not just rational analysis.
Every day you face battles—that is the reality for all creatures in their struggle to survive. But the greatest battle of all is with yourself—your weaknesses, your emotions, your lack of resolution in seeing things through to the end.
Wakati huo mwanaume anayesema mwanamke aliyezaa nje ya ndoa hana maadili, yeye ana watoto kadhaa nje ya ndoa😎.
Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’ Soma simulizi la Recho kupitia @MwananchiNews #Ushunuzi
Ushawai open up kwa mtu afu unaskia ameenda podcast? Kidogo kidogo hivi unaskia "there's this friend of mine" anayabwaga yote kwa podcast kubabeki😂🤣 this why we keep our issues to ourselves yakitushinda tunalia na kusali. Yakitushinda sana tunajiua💔
Mshunuzi @bwaya and co., angalia namna Dira ya Maendeleo ya China 2035 na 14th Five Yr Dvt Plan 2025 zilivyoapproach eneo la Sayansi na Tafiti⬇️.
Hivi kuna tofauti kati ya Sayansi na Utafiti?🤔🤔🤔 Mbona kama Dira ina tautology hapa?🤔🤔 @Udadisi @bwaya @MabalaMakengeza
May we normalize that quote “mtoto kwa kawaida anahitaji upendo wa pande zote mbili ili ajisikie kubalika” Lakini pia uwepo wa pande mbili katika malezi ndio huchangia mafanikio kwa ukubwa ya huyu mtoto maishani! Sababu anakua na watu wa kuwatazamana kama mfano “rolemodels”
Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’ Soma simulizi la Recho kupitia @MwananchiNews #Ushunuzi
Umri wangu mimi nipo kwenye kundi la watu ambao hatukiwahi kujumuika na wazazi kuongea. Maongezi yetu yalikuwa mama anasema mimi nasema ndio. Hii hali inakuwa ngum sana ukubwani tunajikuta tunashindwa kuhoji, hata makazini ni ndio kila kitu bosi anachosema