Mnigajia
@nicomwaih
Contents creator /Traveller/lastborn @SimbaSCTanzania @ManUtd
Wachezaji wetu wa Simba Sports Club wamenijuza that CAF Confederation Cup Trophy 🏆this season IS COMING HOME 👊. Naipin hii post na mtaamini hapo baadae ✔️✔️
Hizi zina utofauti gani na mifuko ile ilopigwa marufu kipindi cha chuma AMA Hii mmeleta tena ikichomwa inaungua ama kuoza? Hivi huwa mnasimamia nini katika kulinda mazingira❓️

Sifiwa kazi ulioifanya kwa asilimia usichukue asilimia za utendaji kazi wa mtu mwngn Sema hii portion ni fulan amefanya.
Ila career ya football kama upepo yan Joao felix katika age 25 + uwezo wake anaenda timu za Saudia🥱

Tigo internet ipo down kinoma hii michezo nyie @YasTanzania_ acheni michezo.
Pole sana mkali this we'll put to an end maana sisi wenye nia njema hatupendi haya na Mungu pia hapendi haya.
😭😭Baba yangu ametekwa na watu waliojitambulisha kama TAKUKURU, Wamemkamata njian akilekea hospital ambapo namuuguza mdg wangu hapa. Inanilazim kumuacha mdg wangu hapa kufatilia swala hili. Hu sio utaratibu.
Tukapambanie maisha yetu na wale wanaotutegemea katika Mungu 👊 Good morning guys from your side.
Uzi
DEAR BROTHERS & SISTERS. Huenda tusipate muda wa kukaa pamoja na kuzungumza ana kwa ana so acha tuzungumze hapa. Unajua Vijana wa leo, tunaishi katika ulimwengu uliojaa changamoto nyingi sana, nadhani umeskia hivi karibuni mara kadhaa tumekuwa tukipokea taarifa za watu hata…
Hivi nyie @CRDBBankPlc hii miamala mingi mnayorudisha cjui imefeli mnauchungu nayo isiende kwani hela za kwenu. Mnazingua sana mnatusababishia usumbufu dadeki.
Kama ulikua bado poyoyo basi sasa ushajua #NoReformsNoElection iliosimamiwa na viongozi wenye akili kubwa na walioona mbali basi sasa umejua. Kwamba Reforms zinahitajika haswa kwa mustakabali wa taifa letu.
Zote upande wa madereva hapo ujue hakukua na namna wanavyopelekea upande wa mbele wa passenger.
📍Mikumi Mbeya city na Ibaba
Tukapambanie maisha yetu na wale wanaotutegemea katika Mungu 👊 Good morning guys from your side.
Tukapambanie maisha yetu na wale wanaotutegemea katika Mungu 👊 Good morning guys from your side.
#NenoHuru SIKIA, ukiwa mbeba maono kamwe hauwezi kuwa mtu wa kawaida. Jamii itakushangaa sana, lakini wenye akili yenye maono WATAKUELEWA sana. USIACHE hata siku moja kuyaishi MAONO YAKO!
Idk, kila nikimsikiliza Heche siku hizi nasikia anazungumza kama mtu aliyebeba dhamana kubwa sana. Bro is going to be a very serious force kwenye siasa za nchi hii.
Sisi tunasema hatutapiga magoti kwa mtu yeyote anayeteka, anayeuwa na kupoteza watu, kama umekubali kuwa kiongozi wa umma lazima ukubali kukosolewa. Huyu anayefunga makanisa yanapomwambia acha kuteka watu kwanini tumuonee aibu na kumwogopa, mimi Heche sitamwogopa na tutasonga…
… Leo udongo umempokea ndugu yetu Albert Oltereu — sauti ya msimamo na moyo wa mapambano. Aliisimama kwa kweli. Alisema yaliyo magumu kusemwa, akatenda yasiyo rahisi kutendwa. Mazishi haya hayaziki tu mwili, yanazika enzi ya kimya chenye maana. In a better place now. 🕊️
Kwanini uteke, kuua au kuumiza mtu kisa madaraka? unatofauti gani na mwizi anayeiba kwa bunduki? Mwisho wa siku unapata pesa na unapata madaraka then what next? Ukipata madaraka ndo hautakufa au ndo hauendi chooni? Hawapelekwi mahakamani sbb wanakuwa hawajafanya kosa! 😭
Tunapowaambia tunahitaji reforms muwe mnaelewa jamaa nae anadai reforms😀😀