Reuben Lukumay ole CDM
@ReubenLukumay
We Demand for Peace,Freedom & Justice. Rancher. A soldier in God's army. #Activist #Chadema_Active_Member. Anytime Mp.
And for the records....to any circumstances @TunduALissu is our next president.

Hu ni ushahidi wa ki takwimu kwamba huyu mama hatumtaki, na sababu zipo wazi ukandamiziji wa upinzani na kutekwa, kuuwawa na kupotea kwa raia kama mbuzi. Kwa kuwa anashupaza shingo na kukaza fuvu Mungu atasimama wakati wowote.
Hata Mbuzi wangekuwa wanapotea kwa Kasi ya watu wanaopotezwa lazima tungetakuwa kuchukua hatua za haraka.Haiwezekani wakosoaji tu ndiyo wawe wanatekwa,wanauawa au kufungwa jela.
Hu ni ushahidi wa ki takwimu kwamba huyu mama hatumtaki, na sababu zipo wazi ukandamiziji wa upinzani na kutekwa, kuuwawa na kupotea kwa raia kama mbuzi. Kwa kuwa anashupaza shingo na kukaza fuvu Mungu atasimama wakati wowote.
We wish tungekujua mapema mstaafu, hu ukimya kwenye mateso tunayoyapitia kama chama ni ushahidi tosha ulifanikiwa kuzitapel iman zetu kwako...inawaje tutashinda na tutabaki imara.

Mstaafu anaumia sana na jengo Makao Makuu ya CHADEMA lile pale Mikocheni na hapo tulinunua kwa pesa ya ruzuku. Imagine ingekuwaje kama angekuwa amenunua kwa pesa kutoka mfukoni kwake? Si tungetupiwa mafaili njee?😂😂😂😂
Mahakama ni msingi wa mwisho wa matumaini katika jamii inayotaka haki. Ni ukuta wa mwisho unaopaswa kusimama kati ya raia na udhalimu. Lakini pale Mahakama inapogeuka kuwa chombo cha walioko madarakani, badala ya kuwa ngome ya haki na wanyonge taifa linapotea. Mahakama isiyo huru…
Umesha Sign Petition? Ni rahisi na onyesha kwa vitendo kuwa Bila Reforms hakuna Mzalendo ataekwenda kwenye Uchaguzi change.org/p/end-electora…
Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Jaji kugoma kujiondoa kwenye kesi ya mgawanyo wa mali ambayo imefunguliwa na Wasaliti dhidi ya CHADEMA.
Mwamba wa KASKAZINI, mtu wa kuaminika, kwa sasa kaongeza ushawishi mkubwa sana kwa watu. Ukisikiliza maoni ya watu, wanasema, sasa tume muelewa LEMA aisee. Kumbe alikuwa anajua ushenzi wa mwingi aisee, katuheshimisha aisee. Kumbe alikataa kutuuza aisee..
#Updates Rukwa Nimeongea na katibu wa chadema mkoa wa Rukwa . RCO Mkoa wa Rukwa amegoma kuwapeleka walioumizwa na polisi jana wakati wa ukamataji wala kuwapa dhamana ,Tunamtaka RCO awapeleke hospitalini wahanga wote kwani likiwapata lolote yeye atawajibika mwenyewe. TUWAOMBEE
Leo katika mahakama kuu ya Tanzania Dar es Salaam, Jaji Mwanga ameyatupilia mbali maombi ya Chama ya kutaka kujitoa kuendesha kesi ya Ally Issa dhidi ya CHADEMA dhidi ya mgawanyo wa mali za Chama. Maamuzi haya tuliyatarajia na kwa hiyo mapambano yanaendelea. Hasta la victoria,…
Jaji Hamidu Mwanga leo tarehe 28 Julai 2025 amekataa kujitoa katika shauri namba 8323/2025 iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini ya Chama na Kaimu Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika ya kumtaka ajitoe katika shauri la msingi namba 8960/2025 kutokana na wao kutokuwa na imani nae kutokana na…
‼️🚨JUDGE REFUSES TO RECLUSE HIMSELF DESPITE CLEAR CONFLICT OF INTEREST‼️🚨 #Tanzania Judge Hamidu Mwanga is a former employee of the Electoral Commission that has been faulted for rigged elections and biased implementation of laws and constitution has today refused to remove…
Kutoka kina kirefu cha Bahari ya Hindi, sanduku la Usajili 2025/26 limewafikia Watu wa Republic (kitengo cha Habari na Mawasiliano Msimbazi). Mabibi na mabwana sasa tuko tayari kushusha Simba hatari wa kula maadui wa nchi kavu 🐅🦅🍦👮♂️🍇🐕🦍 na majini / matopeni 🐸 📲 Lipia…
TAHILISO ni kwaajili ya kuwasemea wanafunzi Sio kwaajili ya mipasho. @DarChaso @Chaso_kiut @ChasoUdsm @chaso
Kuumizwa kwa wanachama na wafuasi WA @ChademaTZ2 nkasi na mateso waliyopata Jana kutoka kwa polisi wanaotumiwa na CCM NI matunda ya kesi iliyoundwa na said issa na kubarikiwa na jaji mwanga Hakuna kesi ya madai inaweza kuzuia watu kukutana watu kuongea labda kama unadai ulimi