Mullo
@mullokozi
Negus Negust 👑
Key words 🔑 Release yourself from “What will people say” and “Other people my age are” and you will begin to truly live @Yvette_Aloe

half of your beauty comes from the way you speak and treat people.
Biashara ya pombe kama wewe mmiliki ni mnywaji, usinywee pale, ni hatari kwa usalama wa biashara yako.
mental health is real. take care of yourself and check on your loved ones.
Avoid the temptation of showing off how much money you have. Trust me, it never ends well.
A man who stays silent after being disrespected scares me the most.
Elimu bure
Nikikumbuka Tuliwahi Soma Factors Affecting Fishing in Germany Mwili Unakosa Nguvu Acha Niendelee Kusubiri Abiria Kijiweni.🤣
Mambo 5 Ya Kukujengea Hekima: 1. Sikiliza zaidi ya kuongea. 2. Usijibu kwa hasira. 3. Tafakari kabla ya kusema. 4. Jifunze kutokana na makosa. 5. Endelea kujifunza.
Bila Shaka kodi ya mitandaoni inawalenga wasio na physical business address yani wanauza online tu na wapo Tanzania Bara au Zanzibar
Tuseme Una FREM yako ya Kuuza Simu Pale Makumbusho Unatumia Mitandao Kuuza Simu zako Especially kupitia Sponsored Ads Maana yake: -Utalipa Kodi ya Kawaida Kama Mfnybiashra -Utalipa VAT ya Sponsored Ads -Utalipa na ya Mtandaoni Au Mimi ndo SIELEWI?
Kwenye maisha angalia njia zako zisiumize au kuwa sababu ya wengine kupotea kwenye ramani.
TRA wanataka kodi kwa biashara za mitandaoni ambayo serikali imeifungia hadi tunaingia kwa VPN(ni kosa kisheria) na wao pia wanaingia kwa VPN kupost hizi habari😂😂 Hii nchi ina shida sana
Mwanaume kufika 30 years na hauna a stable source of income seems so scary
Kamwe Usimdharau Aliyechelewaa,Huenda Akawa Anakuja Na Kile Ulichosahau.....📌
Hata wema ukizidi kupita kiasi, unaweza kuwa mzigo. Ni muhimu kujua wakati wa kusaidia.