Tell me her name 💫🤍
@Angelelsie8
Daughter of God. A chosen one. I believe in God. I believe in Prayers. 🙏🙏 #Chelsea 💙 #Yanga 💚
Kioo kinachomsaidia dereva kutazama mbele ni kikubwa kuliko vioo viwili vya pembeni vinavyomsaidia kuangalia nyuma.. Tutumie nguvu nyingi kuangalia tunakokwenda kuliko tulikotoka Nyuma pangekuwa muhimu Mungu angetuwekea macho kisogoni..📌📌
Kuwa mwema ni zawadi, lakini kuwa na mipaka ni hekima.
Mtu anaamua kukupigia simu kukujulia hali ghafla unamuomba hela..😂😂💔
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44 ✅Bei 65,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo
Utaishi maisha yenye hofu sana na mwisho utaishia kwenye maisha yenye maumivu kama utawaruhusu watu kutokuheshimu mipaka uliyojiwekea, na kutaka kila mtu akupende.
Naomba retweet 🔥 Mliwahi kuona au kusikia tu mwanaume wa kimasai anahangaika na kukosa nguvu za kiume? Haijawahi kutokea Usikae kimya mtafute masai ana dawa nzuri sana ndani ya siku 3 tu unarudi na nguvu zote mke lazima afurahi mapigo Ana dawa ya ●kukuongezea nguvu za…
Before & After❤️ An Even skin tone glam🔥 Book your glam appointment now Call/ Whatsapp 📲 0676335537 📍Sinza Mori, Ahadi St #glammedbyqueeenminah
#ChapaRepost Keshoooooooo tuna #BreakinNews nyingi sanaa kama mchanga Tukutane sa mbili hapa hapa X Space kwa @MissChelsea1221 @FKihamu @PKishamba @PresenterNoah 👉Wana #Chelsea na msio Chelsea tunaomba mtusaidie kupost kwa kurasa zenu,Kila mmoja na asikie habar ya kusisimua…
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 85,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo
Mfanya biashara anatakiwa kuanza kulipa kodi TRA akiwa na mtaji wa shilingi ngapi?
Naomba retweets hapa wakuu 🚨 HABARI NJEMA! 🚨 🌟 AIRTEL 5G ROUTER 🌟 ✅ Kasi Bila Mipaka – Furahia intaneti yenye kasi popote ulipo! ✅ Bando la Mwezi Bila Kikomo – Tumia bila hofu ya kumaliza kifurushi. ✅ Unganisha hadi vifaa 64 kwa familia yako au ofisi kwa ufanisi zaidi.
Good morning sweetheart's ☺️ Mito midogo na Foronya zake🔥 Mto Tsh 5000/= Foronya Tsh 5000/= ☎️0693218525 📍 Kkoo Agrey Dar es salaam 🚚 Tunafanya delivery mikoa ya jirani na nje ya nchi #SokoLetu
Bado tupo hadi ufike😌
Ubuyu Upo kwa kutosha wateja wangu Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri ya Kishua Hauchubui Mdomo Ukimung'unya Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili Bei ni 4000 tu Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma Nipigie 0752228138
Sikiliza moyo wako, penda kwa heshima, tafuta riziki kwa bidii, na mpe Mungu nafasi ya kwanza, kila kitu kitakuja kwa wakati wake.
Zaburi 128:1, 2 Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema. Good morning to you familia 💛
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 110,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya sasa 27,000/= 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Goodmorning! Afya njema ndio mtaji wa kila kitu kabla ya pesa
Unaofanya nao kazi sio marafiki zako usijimalize sana kwao.