Jabiry
@Jabirysuleiman7
Business Man @chelsea
Ukiamka asubuhi hakikisha una mkabidhi Mungu kazi zako na wewe mwenyewe omba ulinzi kwa maana wanao taka kukumaliza ni wengi mno.
Presha Ya Mafanikio isikufanye uone kila aliyefanikiwa Ni Adui Yako.. Good Morning X family 🤚.
Mkuu Unalala Nyumba Ya Kupanga Na Bado Unakoroma Si Dharau🤔😀
Ndege pekee anaeweza kumdona Mwewe ni Kunguru (kurabu).. hukaa mgongoni mwake na kumdona shingo yake! Ila Mwewe hapigani naye wala hapotezi nguvu zake na wakati wake kwa makunguru! Bali hupaa juu sana, na kila Mwewe akipaa yule Kunguru hupata shida ya kuvuta pumzi na mwisho…
MUNGU wetu mbariki na umpe Amani yoyote aliyeiona Siku ya LEO.....🙏
Wakuu Mlisema Asubuhi Glass ya Maji ya moto, Malimao pamoja na Nini.? 💔🤔
Watu Hawahitaji Kuamini Wewe Unaweza Bali Ni Wewe Ndio Mwenye Uhitaji Wa kuamini Unaweza Kitu Kwenye Maisha Yako..
Jumatatu tulivu kabisa na @KimaniDawa 𝐑𝐄𝐓𝐖𝐄𝐄𝐓 & 𝐐𝐔𝐎𝐓𝐄PLEASE 🌱 ✅️JE UNASUMBULIWA NA UGONJWA ULIOKOSA DAWA YA KUTIBU KWA MUDA MREFU. Basi suluhisho umelipata kwa Dr. Masai @KimaniDawa anazo dawa zenye kutibu magonjwa na changamoto mbalimbali kama hizi👇
Hatuwezi kuziepuka siku mbaya maishani ila tunaweza kujifunza namna ya kuishi nazo🪡.
James ana dada mzuri sana sijui kama familia yao watanikubali 😭
Nimeona Fadhili zako Maishani Mwangu yawe... Nimeona Wema Wako Maishani Mwangu yesu.. Najua Bila Wewe Nisingeweza... Maana ivi vyote Wewe Umetenda... Afya hii Sababu ni Wewe.. Uzima huu Sababu ni Wewe.. Neema Gospel- Umenipendelea.
Unavaa jerzy ya njano na jua Kali na Lile jua la dodoma nyuki wanajua alizeti wanakuja kuchukua material yao😀
Uhusiano mzurii wa Utafutaji ni Kuwa mvumilivu katika zile changamoto utazopitia ziwe zenye kukujenga kiakili..
Jitahidi Uwe Ni Mtu Mwenye Kutabasamu Ni Njia Moja Nzurii Ya Kuweza Tatua Mambo Mengi..