Being 6 πππ‘οΈπ©Ί
@TinaaryS
Dr Abbie, man of the people
Hadzabe from Tanzania πΉπΏ @Cristiano @IShowSpeedHQ
Before you give up learn this, π Success doesn't come to those move fast, it comes to those who refuse to stop. Every setback is a lesson, every delay is direction and remember that every failure is a form of feedback Good morning to you familia π
Isaya 54:13 Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi. Good morning to you familia π
Zaburi 128:1, 2 Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema. Good morning to you familia π
x.com/Lilianmbuya2/sβ¦
Form six quality sana hizi hapa unakosaje sasa Size m to 2xl Bei 20000 Delivery ipo mikoani na dar unalipia Whattsapp 06 227 54484 kwa order yako
When God wants you to grow, he a isolates you so that you discover your own power. Good morning to you familia π

You need to have two things on your face, silence and smile. Smile to solve problems and silence to avoid problems. Good morning to you familia π
Zaburi 66:18, 19 Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia. Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu. Good morning to you familia π
1 Petro 4:8 Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi. Good morning to you familia π
Mkeo ni kama kisima cha maji safi, kunywa maji ya kisima chako mwenyewe. Good morning to you familia π

2 Timotheo 2:22 Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi. Good morning to you familia π
Tumekubaliana wanaume hakuuna ku cheat si ndiyo? Jamaa zangu @KiandaWa14 na @nguchiro47 ...ukipata wa hivi mnipe sababu itakayowafanya mcheat yenye mantiki π€£π€£

Isaya 54:17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana. Good morning to you familia π
Happy Birthday Mwenyekiti wa back bencha,Kila la kher katika mwaka wako mpya uloongeza ππππ₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯° @goligani @goligani
Tumalizie weekend yetu hivi π Mathematics is so beautiful

Good morning watumishi GLASS YA MAJI/ JUICE 6-25,000 WINE GLASS π· 6-25,000 KARIBU DUKANI EXTERNAL MATAA 0755 693 113 @Ugeniaconso @INFLUENCERjr @enamalisa
Good morning my friendsπ... SET YETU YA HOTPOTS 4 TSH 60,000 KUBWA INA BEBA 2KG 0755 693 113 πTUPO UBUNGO EXTERNAL MATAA KARIBU NA MARIOTI HOTEL KINDLY REPOST π @MiriamMkanaka @Ugeniaconso @0505capri
Happy birthday to you boss enjoy your day blood
Bimkubwa amenipigia simu muda huu anasema G unajua leo ni birthday yako ya pekee nilikuzaa siku ya jumapili tarehe kama ya leo na ilikuwa saa NNE usiku. Nmeshangaa mno mana nilishasahau kuwa ni birthday yangu. Happy birthday kwangu BACK BENCHA nashukuru Mungu ni mwema sanaβ¦
Zaburi 113:3 Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa. Good morning to you familia π
Najua unateswa na mapenzi, wala usijali na usikate tamaa najua ipo siku yatakuua na upumzike milele π€£π€£π

Nikikumbuka enzi ya shule tulianzisha kikundi chetu cha kujisomea tukakipa jina la " The big dreamers"muda usio wa masomo ukitaka kutupata njoo library, kweli mitihani tuliipiga kisawa sawa lakini kwa hali ya utafutaji kimaisha ilivyo ngumu ! naishiwa pawa πββοΈππ.