ππ«.ππππ€β’πΉπΏ
@_zack255
Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah
Wapinzani wanachomoa hotuba ya Mwalimu Nyerere ya 1995 ili kushambulia CCM. Huo ulikuwa ushauri wa miaka 30 iliyopita β si amri ya milele. CCM ya leo ina mchakato halali wa kumpata mgombea kupitia CC na NEC. Demokrasia si matusi, ni nidhamu. @_zack255 @Getrude_mollel @420Cousin
KWANINI WATANZANIA MILIONI 37.6 WAKO TAYARI KUPIGA KURA? Na Nulphin Charles Heche Faida kubwa ya elimu ya uraia ni kujenga Taifa la watu wanaojitambua. Kujitambua katika haki na wajibu wa kikatiba. Hili ongezeko la wapiga kura lililotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi niβ¦

Awamu ya sita imekamilisha ujenzi wa majengo 118 ya huduma za dharura. Majengo haya yamepunguza vifo na kuokoa maisha ya wagonjwa wa dharura mbalimbali. #OktobaTunatikiSamia
Thread 'CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza' jamiiforums.com/threads/ccm-ya⦠via @JamiiForums
π£ Kwa asilimia 99.8 ya wajumbe kuridhia β CCM imeonesha umoja na ukomavu wa kisiasa katika marekebisho madogo ya Katiba ya Chama. Maamuzi ya pamoja, kwa ajili ya mustakabali wa pamoja. ππ #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Must read βοΈ
π πππ πΎπππΌ πΌπΎππππΌ ππΌππΌ ππΌππππ πππΌ πππππ! John Cena alimsainisha mkewe mkataba wa kurasa 75 ambao ulimtambua mkewe Nikki Bella kama mgeni tu na kwamba endapo akiondoka hataondoka na kitu ambacho hakuja nacho nyumbani kwake. Wanawake wammaindi Cena!

WAPIGA KURA MILIONI 37 KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025,β¦
Tunavosema kila Mtanzania anayezaliwa ni CCM Tunamaanisha Watoto hawa wamenifurahisha leo Bendera ya Chama changu. CCMπππ
Lema leo niruhusu nikuite 'Fala'. Yaani unasemea Sensa ya miaka miwili iliyopita? kwamba watu hawakui.....wabaki na miaka yao ile ile? Halafu, ninyi si hamshiriki Uchaguzi? Si mmesusa?? Mnaumia nini?
MRADI WA MAJI WA BILIONI 36.9 KUNUFAISHA ZAIDI YA WAKAZI 450,000 DAR ES SALAAM Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza takribani shilingi bilioni 36.9 katika Mradi wa Maji wa Bangulo, ambao utahudumia wakazi wa maeneo ya Darβ¦
Mbona sielewi, hawa waliojiandikisha kupiga kura wamo na wafuasi wa CHADEMA au hawamo? Kama wamo, walijiandikisha vipi ilihali CDM haishiriki Uchaguzi? Kama hawamo, nani atawapigia kura CDM hata wakipewa reforms??