Afrika Jana na Leo
@AFRIKA_JANA
Unbiased outlet | Make true Info. Available | Entertainment
Chama cha Mapinduzi kimeamua kufanya marekebisho ya Katiba kwenye upande wa majina ya Watu walioomba kugombea Ubunge na Udiwani ambapo licha ya majina ya Wagombea wanaoteuliwa ngazi ya Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa kubaki matatu kwa kila Jimbo na Kata, kwa marekebisho ya…
SIO KWELI BODI YA ITHIBATI IMEZUIA WATANGAZAJI WAKOSOAJI Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa…

SIO KWELI BODI YA ITHIBATI IMEZUIA WATANGAZAJI WAKOSOAJI Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa…

Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka historia kwa kuongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali,akizungumza moja kwa moja na wajumbe kote nchini.


KWANINI WATANZANIA MILIONI 37.6 WAKO TAYARI KUPIGA KURA? Na Nulphin Charles Heche Faida kubwa ya elimu ya uraia ni kujenga Taifa la watu wanaojitambua. Kujitambua katika haki na wajibu wa kikatiba. Hili ongezeko la wapiga kura lililotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ni…

Mbona sielewi, hawa waliojiandikisha kupiga kura wamo na wafuasi wa CHADEMA au hawamo? Kama wamo, walijiandikisha vipi ilihali CDM haishiriki Uchaguzi? Kama hawamo, nani atawapigia kura CDM hata wakipewa reforms??
MRADI WA MAJI WA BILIONI 36.9 KUNUFAISHA ZAIDI YA WAKAZI 450,000 DAR ES SALAAM Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza takribani shilingi bilioni 36.9 katika Mradi wa Maji wa Bangulo, ambao utahudumia wakazi wa maeneo ya Dar…

BILIONI 40 KUUBADILI MJI WA BUKOBA Wakandarasi wa miradi ya TACTIC Bukoba wamekabidhiwa maeneo ya kazi kwa utekelezaji wa miradi yenye thamani ya Sh. bilioni 40, ikiwemo ujenzi wa soko na stendi Kyakailabwa (Sh. bilioni 18.9), barabara km 10.75, kingo za mto Kanoni km 7.3 na taa…

Moja ya jambo la kipekee lililofanywa na Mhe. Rais @SuluhuSamia ni kufanya mambo magumu kuonekana mepesi

MAMA WA MARIDHIANO, NGUZO YA MAZUNGUMZO YA KISIASA Katika miaka minne ya uongozi wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameibuka kuwa kielelezo hai cha ujenzi wa demokrasia ya kweli kupitia maridhiano, #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Amejenga taifa lenye utulivu wa kisiasa, diplomasia makini, na uchumi unaoinuka kwa kasi ya ajabu. Huyu ni mama wa hekima, kiongozi wa maono, na nguzo ya usalama wetu! Amani tunayoiona leo ni matunda ya uongozi wa busara na moyo wa kizalendo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
“Mawazo na hisia zako huunda mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa mwenye fikra chanya, unaweza kubadilisha maisha yako kuwa bora kila siku.” @falsafabora
📚 Miaka 4 ya Rais Samia – Sekta ya Elimu Mkoani Simiyu Shule za msingi zimeongezeka kutoka 513 (2020) hadi 611 (2025), sekondari kutoka 167 hadi 197. Uandikishaji wa awali umefikia 67,0000, darasa la kwanza 76,000 na kidato cha kwanza 28,000. Bajeti ya elimu bila ada…

Tangu aingie madarakani mwaka 2021, Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. ,@SuluhuSamia, ameonesha dhamira thabiti ya kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa. Inaendelea #KaziNaUtu #TunasongaMbele