MK47TA
@MK47TA
Content creator ๐๏ธ | Media personality ๐น | Diplomatic ๐ผ | Political analysis ๐ | Author ๐ | PR & Communications ๐บ | Allah Akbar
Mroho wa Madaraka mpuuzi huyu.. Hakuna Demokrasia ambayo wapo nayo majambazi hawa... Kuweka neno Demokrasia ni kuwakosea wanachama wao.. Mtu yupo madarakani miaka 30 kwenye nafasi moja sasa kuna demokrasia gani hapo? Tunapotezeana muda tu. Wanatekana alafu wanasumbua watu ๐ฎ

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katikaโฆ
Wapinzani wanachomoa hotuba ya Mwalimu Nyerere ya 1995 ili kushambulia CCM. Huo ulikuwa ushauri wa miaka 30 iliyopita โ si amri ya milele. CCM ya leo ina mchakato halali wa kumpata mgombea kupitia CC na NEC. Demokrasia si matusi, ni nidhamu. @_zack255 @Getrude_mollel @420Cousin
Kesho, tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa chama, ambapo kikao hicho kitafanyika kwa njia ya mtandao (E-Meeting). Kwa mujibu wa Ibara ya 99 ya Katiba ya CCM, chama kina mikutano minane ya kitaifa, na kikao cha juu kabisa niโฆ
SIO KWELI BODI YA ITHIBATI IMEZUIA WATANGAZAJI WAKOSOAJI Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu โ๏ธ "Nimeona wanaharakati kadhaaโฆ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.
๐FUATILIA MBASHARA LEO Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yamepata heshima ya juu kwa uwepo wa Rais. Hii ni ishara ya taifa lenye mizizi ya uzalendo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
Chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeinuka kutoka kuwa mshiriki wa kawaida hadi kuwa mshirika wa kuaminiwa kwenye meza za dunia. Kupitia diplomasia ya kisasa, yenye msukumo wa uchumi, amani na ushirikiano wa kimataifa, Mama Samia ameifungua Tanzania kwaโฆ
Mabasi mapya ya mwendokasi haya hapa #OktobaTunatikiSamia
LEO: Rais @SuluhuSamia atashiriki Maadhimisho ya #SikuYaMashujaa2025 Mtumba-Dodoma saa 5:00 asubuhi. Fuatilia mubashara kupitia @ikulu_tanzania na @tbc_tz. Tuungane kuenzi mashujaa wetu waliopigania uhuru, amani na maendeleo ya Taifa letu ๐น๐ฟ

RAIS SAMIA AENDELEA KUWAGUSA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM AWAJENGEA SHULE 111 - ARUSHA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kutekeleza dhamira ya kutoa elimu jumuishi kwa kujenga shule mpya 111 za watoto wenye mahitaji maalumu mkoani Arusha, zenye miundombinu rafiki kamaโฆ
MAMA SAMIA YUKO KAZINI๐น๐ฟ Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni mojawapo ya miradi mikubwa ya kimkakati inayoendeshwa chini ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huu unalenga kujenga bandari ya kisasa yenye uwezo wa juu wa kushughulikia mizigoโฆ
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amegeuza elimu ya Amali kuwa silaha ya ukombozi kwa vijana wa Tanzania. Kwa dhamira ya kweli, ameanzisha vyuo vipya vya ufundi, kuimarisha mitaala ya stadi za kazi, na kuhakikisha kila kijana anapata ujuzi wa moja kwa moja wa kujitegemea. Mama Samiaโฆ
TANZANIA NI SALAMA MIKONONI MWA MAMA SAMIA. Mhe. Rais Dkt. Samia ameimarisha usalama wa chakula kwa watanzania kwa kujenga maghala 46 na vihenge 20, na kuongeza uwezo wa kuhifadhi hadi tani 219,921 hatua thabiti kwa Taifa imara. #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu NFRA imekuwa na manufaa makubwa sana kwa wakulima, mazao mengi sana ambayo awali walipata wakati mgumu kupata soko, yalipata soko la uhakika kutoka NFRA. Mfano, 2024 pekee NFRA ilinunu tani za mahindi 72,000 kutoka kwa wakulima, na taniโฆ
NFRA imetenga Tsh. 800.6B kwa ajili ya kununua tani 800,000 za mahindi kutoka kwa wakulima na mazao mengine ya chakula zaidi ya tani 150,000 katika mwaka wa fedha 2025/26. #TanzaniaPress
Sera ya โNo Reform No Electionโ si ajenda ya taifa bali ni njama ya kisiasa inayowahadaa wananchi kwa maslahi ya watu wachache. Kususia uchaguzi siyo suluhisho ni kujitenga na wajibu wa kidemokrasia. Tanzania inahitaji hoja, si porojo; mshikamano, si mgawanyiko.

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA ๐ RAIS SAMIA ALIVYOTOKA UKUMBINI KUPISHA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS