Rashda Zunde
@RashdaZunde
|Proudly Tanzanian| | God Fearing馃槉| God's last born| Yanga 馃挌馃挍| Mama Asif馃槉
#SamiaBingwa2025 CCM inamtaji wa wanachama zaidi ya milioni 13 hivyo basi kushinda ni uhakika na hakuna wakushindana na Rais Samia Suluhu sababu ametekeleza na kazi imeonekana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele

Wonderful Group of Companies kutoka Zambia inajenga kiwanda kikubwa cha mbolea mkoani Tabora, ambacho kitatumia malighafi za ndani. Huu ni mkakati wa Serikali wa kumaliza uagizaji mbolea toka nje, kupunguza gharama kwa mkulima na kukuza sekta ya kilimo. #OktobaTunatikiSamia
Jezi namba 29 mgongoni, mimi mtanzania mzalendo nitapiga kura kuchagua viongozi ninaowataka. #OktobaTunatikiSamia
饾棤饾椂饾椏饾棶饾棻饾椂 饾槅饾棶 饾椇饾棶饾椃饾椂 饾槂饾椂饾椃饾椂饾椃饾椂饾椈饾椂 饾椂饾椇饾棽饾椇饾棶饾椆饾椂饾槆饾棶 饾棶饾棻饾椀饾棶 饾槅饾棶 饾椄饾槀饾榿饾棽饾椇饾棷饾棽饾棶 饾槀饾椇饾棷饾棶饾椆饾椂 饾椇饾椏饾棽饾棾饾槀 饾椄饾槀饾榿饾棶饾棾饾槀饾榿饾棶 饾椇饾棶饾椃饾椂, 饾椄饾槀饾椊饾槀饾椈饾棿饾槀饾槆饾棶 饾椇饾棶饾棿饾椉饾椈饾椃饾槃饾棶 饾槅饾棶 饾椄饾槀饾椂饾椇饾棶饾椏饾椂饾榾饾椀饾棶 饾榾饾椀饾槀饾棿饾椀饾槀饾椆饾椂 饾槆饾棶 饾椄饾椂饾椆饾椂饾椇饾椉. #OktobaTunatikiSamia
饾棤饾棶饾椇饾椂饾椆饾椂饾椉饾椈饾椂 饾槅饾棶 饾槂饾椂饾椃饾棶饾椈饾棶 饾槃饾棶饾椇饾棽饾椈饾槀饾棾饾棶饾椂饾椄饾棶 饾椈饾棶 饾椇饾棶饾棶饾椇饾槀饾槆饾椂 饾槅饾棶 饾棤饾椀饾棽. 饾棩饾棶饾椂饾榾 饾棗饾椄饾榿. 饾棪饾棶饾椇饾椂饾棶 饾棪饾槀饾椆饾槀饾椀饾槀 饾椄饾槀饾槃饾棶饾椂饾椈饾槀饾棶 饾椄饾椂饾槀饾棸饾椀饾槀饾椇饾椂 饾椄饾槃饾棶 饾椄饾槀饾槃饾棶饾椊饾棶 饾椇饾椂饾榿饾棶饾椃饾椂. #OktobaTunatikiSamia
饾棝饾棶饾槅饾棶 饾椈饾椂 饾椇饾棶饾榿饾椉饾椄饾棽饾椉 饾槅饾棶 饾椀饾槀饾棻饾槀饾椇饾棶 饾棷饾椉饾椏饾棶 饾槆饾棶 饾椇饾棶饾槃饾棶饾榾饾椂饾椆饾椂饾棶饾椈饾椉 饾槅饾棶饾椈饾棶饾槅饾椉饾椆饾棽饾椈饾棿饾棶 饾椄饾槀饾椄饾槀饾槆饾棶 饾槀饾棸饾椀饾槀饾椇饾椂 饾槃饾棶 饾椄饾椂饾棻饾椂饾棿饾椂饾榿饾棶饾椆饾椂. #OktobaTunatikiSamia
Oktoba 29 nitapiga kura kwasababu ni haki yangu ya msingi ya Kikatiba. #OktobaTunatikiSamia
馃搷Shule ya Sekondari ya Wasichana, Katavi Mama amejenga shule kama hii katika kila mkoa wa Tanzania Bara. #OktobaTunatikiSamia
Ujenzi meli MV Mwanza wafikia asilimia 98 Gharama: Zaidi ya shilingi bilioni 124 Uwezo: Abiria 1,200 Tani: Tani 400 za mizigo Magari: Magari madogo 20 na makubwa matatu #OktobaTunatikiSamia




Ujenzi meli MV Mwanza wafikia asilimia 98 Gharama: Zaidi ya shilingi bilioni 124 Uwezo: Abiria 1,200 Tani: Tani 400 za mizigo Magari: Magari madogo 20 na makubwa matatu #OktobaTunatikiSamia




Ujenzi meli MV Mwanza wafikia asilimia 98 Gharama: Zaidi ya shilingi bilioni 124 Uwezo: Abiria 1,200 Tani: Tani 400 za mizigo Magari: Magari madogo 20 na makubwa matatu #OktobaTunatikiSamia




Ujenzi meli MV Mwanza wafikia asilimia 98 Gharama: Zaidi ya shilingi bilioni 124 Uwezo: Abiria 1,200 Tani: Tani 400 za mizigo Magari: Magari madogo 20 na makubwa matatu #OktobaTunatikiSamia




Awamu ya Sita inatumia teknolojia kurahisisha, kuboresha na kuharakisha huduma kwa wananchi. #OktobaTunatikiSamia
Mama ana imani kubwa kwa vijana. Ameendelea kuwaamini kuanzia kwenye nafasi za uongozi hadi kwenye fursa za kiuchumi. #OktobaTunatikiSamia
Kutoka Maktaba. Anayejali na mwenye upendo. #OktobaTunatikiSamia
Kushiriki uchaguzi ni haki yako ya kikatiba. Mama anailinda haki hiyo. #OktobaTunatikiSamia
Ujenzi wa Shule ya Sekondari Tupevilwe wilayani Makete umekuwa mkombozi kwa wanafunzi ambao hapo awali walikuwa wakitembea umbali wa KM 20 kufuata elimu. #OktobaTunatikiSamia

Wakulima wa korosho Mkoa wa Mtwara na Lindi waliingiza zaidi ya Shilingi bilioni 143 iliyotokana na mauzo ya tani 33,391,375 za korosho ghafi katika minada minne ya awali inayoendeshwa na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) katika msimu wa mauzo mwaka 2024/2025. #OktobaTunatikiSamia

Ujenzi wa Barabara za Lami Kijiji cha Nswekwa wilayani Mlele mambo safi Wananchi waipongeza serikali kwa ujenzi wa miundombinu bora ya usafiri na usafirishaji wa watu na bidhaa. #OktobaTunatikiSamia



Huduma ya usingizi sasa inapatikana Hospitali ya Wilaya ya Pangani. Hii ni baada ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia waliopo wilayani humo kutoa mafunzo kwa watumishi wa hospitali hiyo ya wilaya na kufunga mashine hizo. #OktobaTunatikiSamia


Makete ya sasa sio kama ya zamani, hii ya leo imepiga hatua kwa kuwa na miundombinu ya barabara za lami zenye viwango. #OktobaTunaTikiSamia
