THINK BIG 🇹🇿
@thinkbig2025
Blogger
Halafu kinatokea kikundi cha watu kikiongozwa na Heche kinasema eti kitazuia uchaguzi kupitia umma, sijui umma upi Chadema walikosa maarifa sana kwenye jambo hili Tunawauliza roli modo wao Hechelema aliwahi susia uchaguzi na kua Rais kama anavyosema shangazi yao Maria Sarungi?
Kudharau maamuzi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM inahitaji uchizi kama wa Bwana KIKULACHO

Mgombea Urais tunaye na Tunatamba nae. waliokuja CCM kwa mbeleko hawawezi kukijua chama kama sisi wazawa.

Harakati za Urais 2030 zimeanza mapema sana. Ntarudi na maelezo kamili.

Kigongo–Busisi: fahari ya Kanda ya Ziwa, Mama aliahidi na ametenda.
MFUMKO WA BEI Mwaka 2023 Tanzania imebaki na mfumko wa bei wa asilimia 4% ikilinganishwa na Marekani ambayo ni asilimia 6.5%
#NoElectionNoFuture #OktobaTunatiki ✔️ Sitapoteza haki yangu ya kuchagua viongozi wangu kwa mara ya kwanza 2025. Naapa kwa jina la Mungu, Mimi na first time voters wenzangu wooote Tanzania #OktobaTunatiki Mambo ya No Reforms No Election rudisheni Ubelgiji na Canada, PERIOD!

Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri. Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha.