EastZoo
@Waeastzoo
Sikiliza,Elewa
Hali Ya Nyonyo Iko hivi Kinembe Je??
Mdogo angu ametimiza miaka 14 LEO Mnisaidie kumwish Happy birthday 🎉🎂
Kama kijana unayejitafuta hupaswi kuwa na chuki, wivu na ujuaji mwingi. Hivi vyote vina tabia ya kuvutia umaskini.
Asubuh ipo njema sana hmna matusi kabisa ngoja waamke wale madogo wanaosemaga "Mungu na wahuni siku zote " yatakuja na matusi humu🚮
Fika hapa upate madini RT
Fahamu leo Biashara za kufanya hata kwa Mtaji wa elfu hamsini tu 50,000/na ukapata faida kubwa. 1. Kuuza protekta za simu 2. Earphones za simu 3. Usb za simu 4… Mfano, earphones zinauzwa kwa bei ya mia saba (700Tsh) tu jumla🔥 Protector nazo ni 500Tsh tu Chukua maelekezo👇🏽
#TajiriLaKihaya Jana pale RAINBOW… Wapwa walikua wanatarajia Meza yangu itakua na Pombe za gharama😅 Wanakuja wanakuta MAJI na Redbull Moja- Wanachoka saana😅😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kumhonga Pesa Dem Asiekupa Nyapu Ni Dalili ya Kwanza ya Umasikini. 😂😂😂
Ukizoea kuwa mpole kupita kiasi na kuwa karibu sana na kila mtu, watu watakutumia kwa maslahi yao. Huwezi kufikia mafanikio kwa kujaribu kuwafurahisha watu wote. Hakikisha kila mtu anayekuzunguka anajua mipaka yako na anaiheshimu.
Huwezi kujifunza kitu kipya kwenye maisha kama kila siku unataka uonekane mwalimu mbele za watu. Good morning wasakatonge wenzangu
Baadhi ya watu wanaongea na wew wakiwa na muda lakini kuna ambao wanatafuta mda ili kuongea na wewe Tofautisha✍
USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU USIVUMILIE DHARAU
Wanangu wa Backbencher Definition gani Hauwezi Kuisahau Kabisa Mimi: Chemistry is the branch of science that deals with the composition, structure, properties, and changes of matter. Wewe.....👇
Nmekaa hapa TTG muda huh nmemkumba jamaa alienyewa geto na Bambi , hivi wanawake wanawazaga nini mpaka kunya na kupaka mavi ukutani😁😆
Dunia kuwa fair imegoma saizi kuna mtu anakula kitumbua cha Mungu na mwengine anakimbilia vitumbua vya Mama Amina visiishe🚮😂
Ni kweli duniani ni wawili wawili ila nililazimika kuhama mtaa baada ya kuona kuna mtoto wa jirani mwenye miaka 6 kafanana namimi 😂🥲