Tee❤️
@Secondsisie
PRO✍️ Braids 🤗 🥰 Azam FC fan💙🤍
Isaya 59:1 Tazama, mkono wa Bwana haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; Tuombe bila kuchoka 🙏, muwe na siku njema familia🤗
Madrid wenyewe hawana mechi za kirafiki wanasubiri tu ligi ianze wakipute ,wanajikuta kina nani 😅😅😅
Kila siku kabla hujalala jiulize, Kama hii siku uliyoimaliza(siku ya leo) ndio siku yako ya mwisho duniani, Je uko comfortable kwenda mbele ya Mola wako na mwisho huo?🤔 Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema🤲🏾
Kama una dstv mechi ya kirafiki ya aseno na Milan wanaonesha marudio na ya liva na milani baadae channel namba 223
Ila majuto🤣🤣 kuna ile video yake moja huwa anasema nioe na vidole ananyanyua juu👐🔥
"Kufa ni rahisi sana kuliko kuishi ndio maana unatakiwa kuwaza utaishije na sio utakufaje". Cc: #DeiWaka
As long as its weekend🔥, nipe majina ya action movie latest za kikorea💯
"Hela ni namba na namba hazina mwisho, kama furaha yako inategemea hela basi sahau kuipata". Cc: #BobMarley
Mohammed hussein Tshabalala video imevuja huu hapa utambulisho wake na Club mpya ya Yanga Tazama 👇
Utasahaulika na maisha yataendelea, Jipende, furahia ulicho nacho kisha ishi maisha yako❤, Tunaishi ~Tunaishia💔
Ambae yupo tayari kutaka kuzinesa aseme tukatoe utangulizi
""Tanga mnayosema wanajua mapenzi ,Kuna pisi Kali mixer mishangazi ni ipi?mbna naona wazee tu 😂
Jana katika mahojiano ya Polepole na Mtangazaji wa BMG TV yamefanyika ila chakushangaza Polepole alikua Tanzania na Mtangazaji yupo Mwanza hii imekaaje? Wazito. 😎