Pharaoh📱
@Paraoh7
Doctor of Philosophy, Educationalist| Scientist|MobileSoftwareDev
🚨 Tanzania’s democracy in crisis! CHADEMA’s election boycott in Oct 2025 could trigger sanctions & Europe cutting ties. Without Western support, Tanzania faces economic turmoil post_CCM win. #NoReformsNoElection #TanzaniaCrisis 😱 Retweet to spread the word
Tanzania - Free Tundu Lissu handsoffcain.info/notizia/tanzan…
Huyu anaitwa @boniface_a_k_mwabukusi ni kaka yangu ninamheshimu kwa msimamo yake, kama unamkubali. Ponyeza Repost
Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu ana kila sababu za kuwa Rais wa hii Nchi.✌️
Good lucky today, Idolo. Rallying behind you all the way! #FreeTunduLissu
Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu ana kila sababu za kuwa Rais wa hii Nchi.✌️#freetundulissu Tumpe Retweet 500tafadhali✊
Ndiomaana tunasema #NoReformsNoElection Gonga Repost 200. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Huwezi kulinda kura ambayo tayari imeibiwa kikatiba, kisheria na kikanuni. Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote. Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi. Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi na…
Leo nimepitia akaunti moja baada ya nyingine kama Mwalimu wa mathe🤣🤣🤣 Tujitahidi kuposti na kurepost makamanda hasa Kutetea Haki za binadamu na #NoReformsNoElection. Lakini kama unapost mipira humu,au stori za mapenzi akaunti yako itaganda. Twende kazi sasa tukuinue kamanda 🙏
Wote ambao nilikuwa sijafollow back leo nimewafollow back wote 🙏🙏🙏🙏,kama sijakufollow back basi ujue huna post yeyote kwenye akaunti yako au hujarepost wenzako. Tujitahidi kuposti na kurepost makamanda. Twende kazi sasa, follow 👉 @IkindaKani11826 CHADEMA NI IMANI ❤️
Mruke-ruke, mneng’eke muwezavyo, lakini bila reforms za sheria na kanuni za uchaguzi, CHADEMA hatushiriki huo uchaguzi wenu. Hilo bunge mjiongezee muda wa kufanya reforms. Hatuwezi kuwapa uhalali wa kujitangaza kwa kishindo. Msimamo bado upo vile vile, NO REFORMS, NO ELECTION.
NIMEMFIKISHIA HUYU ANAYEWATESA WATANZANIA WANGU UJUMBE LEO KABLA HAJAINGIA MKUTANO ITALY
TUNDU LISSU Mwanasheria Nguli Na Wakili Msomi Atajitetea Mwenyewe 1/7/ LISSU Hana Rekodi Yakupoteza Pambano Anashinda Kesi Zote Sio Kesi Tu Kashinda Hadi MAUTI🔥🙌 Mpeni RT 200🤝
Uchaguzi Uwe HURU Na HAKI Nyie CCM Unganeni Na CCM Part Two Zenu Zikiongozwa Na ACT Na CHAUMMA Halafu TUNDU LISSU Abaki Huko Huko Gerezani Asifanye Kampeni Wala Asifanyiwe Kampeni Muone Kama Hamjampelekea LISSU Funguo Ya IKULU Gerezani. Hakuna Wakumshinda Lissu Mpeni RT 200🤝
Tumsifu Yesu kristo watu wa Mungu 🙏 Repost iwafikie wengi🤝
We woke up like this! #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection