kuringe sawere Timbiri
@kuringechadema
A political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance in Tanzania🇹🇿 #NOREFORMSNOELECTION
Popote ulipo Retweet hii✊ #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu

Kwako samia unaweza ukatueleza hao wanaoteka watu kisha kutokomea nao kusiko julikana unaweza ukatuambia ni kina nani maana naona kibaka wako murilo anasema wanajifanya police wanateka watu sasa kama sio police ni kinanani nani mwenye kibali cha kumiliki silaha na pingu?

January 2025 Asanteni ndugu wajumbe wa @ChademaTZ2 mliohakikisha kura zote zinahesabiwa na kutuletea uongozi mpya! Mlifungua ukurasa mpya na bora sana ya siasa ya kweli ya upinzani na mlizika ulaghai kule Mlimani City Mungu awabariki na kutujalia sote kuona mabadiliko soon…
Upinzani haukuwa uadui but matendo ya utawala yamefanya umekuwa uadui. Kuua watu,kuteka,kupotezwa,kufungwa jela ndio kumetufikisha hapa. Uko nyuma hakikuwa kitu cha ajabu kuona wapinzani na CCM kwenye meza moja but sahivi watu hata kwenda msibani ni jau,CCM anafiwa watu wanacheka
Kama tukiwasahau Hawa ndugu zetu tutakuwa tumefanya usaliti mkubwa sana💔 #freeallpoliticalprisonerTZ Retweet 🙏




Tulieni tulieni kuna mengi #NoReformsNoElection
No REFORMS NO ELECTION No REFORMS NO ELECTION No REFORMS NO ELECTION No REFORMS NO ELECTION No REFORMS NO ELECTION No REFORMS NO ELECTION Just Retweet ✌️

More than 10k viewing Polepole’s livestream 😁 Hii ndo maana kumpiga teke chura
Hakuna siku inapita bila kukuwaza Kaka yangu Much love and prayer always popote ulipo Ninasali Zaburi 109 kwa ajili ya watesi wako. #Freemdude #Freemdudenyangal
Hawa ndio wanayoifanya Chadema iendelee kuwepo Maana ndiko tumaini lao lilipo!! Hawa ndo tunapaswa kuwaheshimu! Retweet 500 & Like✌️
THE CONDUCT OF PROCEEDINGS IN THE CASE AGAINST HONOURABLE TUNDU A. LISSU IS THE LAW BEING DISREGARDED? The Tanganyika Law Society (TLS) raises its voice regarding the troubling conduct in the criminal case against Honourable Tundu Antipas Lissu — a lawyer, former Member of…
‼️Dear World look 👇🏾‼️ This is @TunduALissu today being treated again unfairly by illegally masked prison guards who wanted to take away papers that are priviledged imformation shared by his lawyers! @SuluhuSamia and her cabal are breaking the law IN COURT 🙄 the impunity!…
#TANZANIA: LISSU ATOFAUTIANA NA ASKARI MAGEREZA MAHAKAMANI, AZUIWA KUSHIKANA MIKONO DHIDI YA MAWAKILI WAKE @TunduALissu, Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Taifa hii leo Julai 16, 2025 amefikisha katika Mhakama Kuu ya Dar Es Salaam, atofautiana na Askari Magereza kwa kumzuia kushikana…
❤️ #FreeDeusdedithSoka Dear Lord, Help us to remain focused and determined, trusting in Your guidance every step of the way. Amen 🙏🏽 Daima mioyoni mwetu 🩷 #FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
Sasa mmenielewa eh!? Na wale waliokuwa wananishambulia wameufyata wanashindwa kueleza imekuwaje mtu kaibukia kwenye Dira ila mahakamani haonekani 🧐 Mi ndo maana siku hizi naacha warukeruke ka maharage ila jibu langu ni #TutaelewanaTu Tuwapambanie ndugu zetu waliotekwa wakiamini…