NTOBI
@Ntobi_
Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Proud Member of ACT Wazalendo|| WhatsApp +255 715 956595
Alliance for Change and Transparency (ACT) – Chama kinachoongoza harakati za upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Karibu ujiunge nasi katika vuguvugu la mageuzi ya kweli na kuikomboa Tanzania kutoka kwa utawala dhalimu wa CCM. Wakati ni huu. #MuhuniHasusiwi #OktobaLindaKura




bbc.com/swahili/articl… Thank you, @bbcswahili, for quoting me in your impressive article. Indeed, we are living in interesting times, and what we are witnessing is quite unexpected in our troubled political landscape. Politics has lost its way and now reflects the egoism of…
Mlikuwa mnaua vipaji vya watu huko ✌️✌️✌️ Angalia Shinyanga ya Ntobi wa @ACTwazalendo leo 👇👇👇
Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy ameongoza zoezi la Ukusanyaji wa Michango kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Chama Unaotarajiwa kufanyika Agosti 6, 2025. Zoezi hilo limefanyika leo July 27, 2025 katika Ofisi ya Chama Kanda ya Pemba iliyopo Gombani Chake Chake…
Suala uhujumu wa mabasi ya mwendokasi ni kutokana na usimamizi mbovu usio na uwajibikaji kwa miradi ya ummah. Tumeeleza mara kadhaa na kwa kurejea ripoti rasmi za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali juu ya uharibifu mkubwa unaotokana na uzembe wa kiusimamizi kwa…
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amefanya ziara katika Kituo cha Mwendokasi Kimara na kubaini changamoto kubwa ya uendeshwaji usioridhisha ya huduma hiyo, ambapo amejulishwa kuwa mabasi yanayofanya kazi kwa sasa ni 60 ambapo amenukuliwa akisema mara ya kwanza…
Lyenda, hata machapisho yako dhidi ya FAM hapa X yanaendana kabisa na ujumbe unaosambazwa. Unataka kusema hata haya si yako? Acha hizo — wewe ni kijana, simama imara na ukubali matokeo ya maneno yako. Zaidi punguza gubu na FAM! Ulia gazeti lake, ukaondoka na gari lake na hana…
Puuzeni kipeperushi hiki. Sihusiki nacho. Wenye nia ovu wame_save namba kwa jina langu na kujitumia ujumbe ili kupata wanachotaka kukipika. #NoReformsNoElection #LissuSioMhaini
Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe amemteua Ndugu @IzzetTausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
TANU HAIKUSUSA! Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli wa ACT, Ndugu @MchinjitaIR amesema kuwa mwaka 1958 TANU ilikutana sheria mbovu za uchaguzi lakini ilishiriki uchaguzi huo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Mhe wakili mbona kama unawananga wanetu? FUTA hii😀😀😀😀😀
@Ntobi_ tulia, mtoto mdogo.
📍 Bariadi Simiyu "Tunakwenda kushiriki uchaguzi; kutumia jukwaa la uchaguzi kuleta mabadiliko." KC @SemuDorothy Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
Nikisema: ACT Wazalendooooooooooo! Unaitikia: Taifa Kwanza, Leo na Kesho! Nikisema: Uwazi na ukweli Unaitikia: Chakua hatua!💪🏽 #Uzalendoni💜 #MuhuniHasusiwi✊🏾 #OktobaLindaKura🫡


Oya Joh! Mpaka leo bado mnamuaminia huyu tapeli wa century? 😂 Mi siku zote nawambia, jamaa ni kirus ! Mnazingua. Alimchoma Mdude live, CDM wakaanza kumsaka Mdude, Jamaa akaanza ‘ooh, ni ushamba kumtafuta Mdude’ – matokeo yake CDM Mbeya waka-mute. Akapiga porojo eti ndani ya…
Wakati tunajenga hoja ya kushiriki uchaguzi huku tukipigania reforms na kuhamasisha wananchi kujenga ujasiri wa kupigania heshma na thamani ya kura zao ulituita matapeli. Leo unakuja hapa kuonesha unaunga mkono wagombea wa @ccm_tanzania waende kwenye uchaguzi - so confusing. Ni…
Nimekutana na Wakili Msomi SWEETBERT CHARLES NKUBA akiponitembelea Ofisini Kwetu kunijusha .Huyu alikuwa Mgombea Mwenzangu kwa nafasi ya Urais wa TLS akiniambia kuwa amesikia wito na ameitika Kuomba ridhaa ya kutumika kama Mbunge JIMBO la KAHAMA MJINI. Ungeniuliza Maoni yangu…
Matukio haya yanaibua maswali juu ya uwezo wa jeshi letu la polisi kushughulika na wahalifu. Maelezo ya kamanda wa polisi yanatoa picha kuwa askari wetu hawawezi kumdhibiti mhalifu mwenye fimbo ila kwa kutumia risasi. Huu ni uvunjifu wa haki za binaadamu na matumizi ya nguvu…
Sakata la aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Polisi Dodoma ndugu wataka haki itendeke, Polisi yasema tayari imewaweka mbaroni askari wanaodaiwa kufanya tukio hilo na wanaendelea na uchanguzi.
Tanzania inatumia Dola za Marekani bilioni moja kuagiza bidhaa za chuma kutoka nje kwa matumizi mbalimbali [...] Hata hivyo, Tanzania ina hifadhi kubwa ya madini ya chuma ambayo yakivunwa na kuchakatwa yanaweza kuzalisha bidhaa hizo zinazoagizwa kutoka nje thechanzo.com/2025/07/22/nal…
Ni wajibu wetu wananchi kupambana,kujipigania katika chaguzi. Hii nchi yetu Tanzania sio mali ya CCM kiasi cha kuwasusia nchi hii wafanye watakavyo.Mabadiliko na mageuzi hayaji kwa kususa bali kwa kupambana.TUKAPAMBANE, Tukapambane kwenye vituo.Oktoba Piga Kura, Linda Kura.
Miradi hii miwili ingeingiza kila mwaka Dola za Marekani bilioni 17 kama mapato ya fedha za kigeni, ilhali hivi sasa kwa takwimu za mwaka 2024 Tanzania inaingiza Dola za Marekani bilioni 16. Miradi hii ingeokoa fedha za kigeni tunazotumia kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka nje.…