The Chanzo
@TheChanzo
We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105
Inclusive Education in Tanzania: A Right Reserved for the Few? | Opinion By Bijal Lal In my years working with children with neurodevelopmental disabilities — Autism Spectrum Disorder, Cerebral Palsy, Intellectual Impairment, Down syndrome, and dyslexia — I’ve watched a painful…

The Story of Trust: How Storytelling Can Heal a Nation | Opinion By Annastazia Rugaba(@annarugaba) Once upon a time in Tanzania, trust was slipping quietly through the cracks. Citizens sat in their homes, radios on, televisions glowing, ears tuned to announcements from leaders…

CCM Yaeleza Sababu ya Kufanya Mkutano Mkuu wa Ghafla Kwa Njia ya Mtandao: ‘Marekebisho Madogo ya Katiba’ Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya Mkutano Mkuu Maalum hapo Julai 26, 2025, utakaofanyika kwa njia ya mtandao, huku agenda kuu ikielezwa kuwa ni kufanya…

CCM Amends Constitution to Allow More Candidates in Party Primaries thechanzo.com/2025/07/26/ccm…

Hali ilivyokuwa Ofisi za CCM wilaya ya Ilala wakati Mkutano Mkuu Maalum ukiendelea kwa njia ya mtandao.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya mtandao kujadili marekebisho madogo ya Katiba kuhusu mchakato wa uteuzi wa watia nia wa Ubunge na Udiwani kwa ajili ya kura za maoni ili kupata wagombea wa viti hivyo kwenye…
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025 Kuanza Kutimua Vumbi Agosti 28 Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi ratiba ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo vyama 18 vimeshiriki katika zoezi hilo Katibu leo Julai 26, 2025 jijini Dodoma. Akitangaza ratiba…
#LIVE Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan Anaongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa Njia ya Mtandao Ingia youtube.com/live/b4CMrGM4k…

Kutoka White House, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wakionekana tayari kwa kuanza kwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kwa njia ya mtandao leo Julai 26, 2025.
Tume: Milioni 37.7 wamejiandikisha daftari la mpiga kura 2025 Dodoma. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amesema idadi ya waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga kura 2025 ni watu 37,655,559 sawa na ongezeko la…
Nyerere Agosti 17, 1990: Akumbushia wakoloni walivyokubali madai ya Katiba Mpya kabla ya uchaguzi wa 1960
Je, ni kwa namna gani mitandao ya kijamii inakusaidia kwenye maisha yako ya kila siku?
Tanzania's Ruling Party Calls Special Congress for ‘Minor Constitutional Amendment’: First-Ever to Be Held Online thechanzo.com/2025/07/25/tan…

The Chanzo Morning Briefing Tanzania News – July 25, 2025 🔴Inside Tanzania’s Strategy to Cut Fertilizer Import Dependency; 🔴Butiku Points Fingers at Kikwete for the ‘Misdirection’ of CCM’s January 2025 Congress, But Calls It a Minor Issue; 🔴Tanzania’s State Mining…

Tanzania’s State Mining Corporation Secures Major Mining License for Wigu Hills After ICSID Settlement thechanzo.com/2025/07/25/tan…

TRA Yatoa Mwezi Mmoja Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Wafanyabiashara mitandaoni wametakiwa kujisajili TRA ili kuweza kulipa kodi stahiki kama inavyohitajika kisheria. Baadhi ya baishara hizo ni kama biashara za upangishaji nyumba kwa muda maarufu kama Airbnb, au wale…
Mwanamke huyu, Rukia Haji Hamisi, mkazi wa kisiwa cha Uzi, Zanzibar amejitolea kufundisha wanawake kuogelea bure ili wajinusuru na majanga ya baharini, kwani wanawake wengi kwenye jamii yake wanajishughulisha na kilimo cha mwani na uvuvi baharini.