Abdul Nondo 🇹🇿
@abdulnondo2
National Chairperson -ACT Wazalendo Youth League. Am a Novus Homo.
Napenda kutoa shukrani kwa Mungu,wazazi ,ndugu jamaa na marafiki,@THRDCOALITION na @humanrightstz, mawakili wangu,uongozi wa chuo.Hatimaye nimetunukiwa shahada yangu ,tuliapishwa kutumia degree zetu kwa maslahi ya umma. Hakika Mapambano ndio yameanza rasmi sasa,shukrani wote



Alliance for Change and Transparency (ACT) – Chama kinachoongoza harakati za upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Karibu ujiunge nasi katika vuguvugu la mageuzi ya kweli na kuikomboa Tanzania kutoka kwa utawala dhalimu wa CCM. Wakati ni huu. #MuhuniHasusiwi #OktobaLindaKura
Jimbo la #Konde limechangia Tsh 1,000,000/= kwa ajili ya Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa wa @ACTwazalendo. Ahsanteni sana Jimbo la #Konde. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
“Uchaguzi wa 2024 kata ya Rubuga, Jimbo la Kigoma Mjini tulimkamata Polisi akiwa na kura feki. Kosa tulilolifanya tulimkabidhi Polisi kwa OCD na hakuna alichofanywa hadi sasa. Mwaka huu Polisi tutakayemkamata na kura feki tutamshughulikia kama Mhalifu na Mwizi.”~ @abdulnondo2
Kesho 27/7/2025 Daresalam itaitika Mwenyekiti wa @NgomeyaVijana Taifa ndugu @abdulnondo2 atakuwa Mgeni Rasmin kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kata ya Vingunguti Jimbo la Segerea.
Jamaa kesho watakua Zoom sijui whatsaap call wakijadili Katiba ya chama chao mara zote Kiongozi anapimwa kwa namna anavyofanya maamuzi yake tuna kila sababu ya kuiondoa CCM kwenye Uongozi wa nchi yetu This people have failed us big time #OktobaLindaKura
🤣🤣🤣🤣He he he
Kaka, ulianza kuzeeka kwanza, baadae ukarudi kuwa handsome!?🙌🏾😀
ACT-Wazalendo national chairperson, Mr Othman Masoud Othman, has declared 2025 a pivotal year for Zanzibar’s political future, urging citizens to reject corrupt leadership and restore integrity to public office. thecitizen.co.tz/tanzania/zanzi…
DJ Fetty amesoma Mass Comm kama Sheria inavyotaka na bado kafungiwa kufanyia kazi taaluma yake. Hiki kinachoendelea ni kikubwa sana zaidi hata ya kigezo cha elimu na waandishi mnaosupport hili kuhisi mko salama mnajidanganya sana.
Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe amemteua Ndugu @IzzetTausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe amemteua Ndugu @IzzetTausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo

Jambo la Fahari kwangu kwa Chama changu. @ACTwazalendo
Heri ya kuzaliwa Katibu wa Fedha wa chama chetu @ACTwazalendo na Kijana mpambanaji (Hardworking),mwenye kadi namba moja ya Ngome ya Vijana,mchapakazi,muelevu ,mcheshi,mwenye upendo na nidhamu kwa kila mtu.Madam @RachelKimambo.Mungu akupe afya njema na umri mrefu wenye mafanikio.




Happy Birthday Dada angu shupavu @RachelKimambo Mungu akupe maisha marefu yenye Afya na Mafanikio.