Dotto Rangimoto
@JiniKinyonga
Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry) 🇹🇿🇨🇳
Ukiiuliza AI Who is Dotto Rangimoto? Dotto Rangimoto is a celebrated Tanzanian poet and novelist known for his contributions to Swahili literature. He is a notable figure in Swahili literature. Career and Literary Beginnings Rangimoto emerged as a poet and writer with a deep…

Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameonesha kushangazwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kwa kauli yake ya kupinga raia kushiriki katika ulinzi wa kura wakati wa uchaguzi, akidai kuwa ni kinyume cha mantiki ya haki za…
"CCM wanasema uchumi unakua kwa asilimia 5 na hivyo umasikini unapungua, ila takwimu zinawaumbua. Katika miaka 5 hii, tumeshuhudia idadi ya watu masikini ikiongezeka kutoka watu milioni 12 hadi milioni 26." Makamu Mwenyekiti Bara @mchinjitair Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Kesho Julai 27, 2025 Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni Dar es Salaam Muda: 5:00 Asubuhi Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Katibu wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @FatmaFereji. Wenzake katika chama cha @ACTwazalendo tunamtakia maisha marefu, yenye afya njema na mafanikio.

"Heri ya mimi Suleiman Mamba nife kuliko kutawaliwa na ninyi washenzi." Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR akimnukuu Shujaa wa Vita vya Majimaji, Suleiman Mamba aliyenyongwa na Mkoloni Kijerumani huko Kilwa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
"Heri ya mimi Suleiman Mamba nife kuliko kutawaliwa na ninyi washenzi." Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR akimnukuu Shujaa wa Vita vya Majimaji, Suleiman Mamba aliyenyongwa na Mkoloni Kijerumani huko Kilwa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe amemteua Ndugu @IzzetTausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo

Katibu Mwenezi Taifa, Ndugu @salimbimani2 amechangia Tsh 500,000/= kwa ajili ya Mkutano Mkuu Maalum. Ahsante sana Ndugu Bimani. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo

TANU HAIKUSUSA! Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli wa ACT, Ndugu @MchinjitaIR amesema kuwa mwaka 1958 TANU ilikutana sheria mbovu za uchaguzi lakini ilishiriki uchaguzi huo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
📍 Bariadi Simiyu "Tunakwenda kushiriki uchaguzi; kutumia jukwaa la uchaguzi kuleta mabadiliko." KC @SemuDorothy Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
Ahsante sana Mwanasheria Mkuu wa Chama, Ndugu @omarshaaban80 kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. OKTOBA #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo

Ahsante sana Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ndugu @IsmailJussa kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo

Ulnzi na usalama ni jukumu la kila raia. @tanpol kujitokeza hadharani kukataa raia kushiriki ulinzi wa kura katikati ya tuhuma za polisi kushiriki wizi wa kura na kushindwa kuwachukulia hatua wezi wa kura waliofikishwa mikononi mwa polisi ni wazo la kihalifu. #LindaKura
David Lammy ‘condemns’ the israeli killing of starving people: # there’s a man works down the chip shop swears he’s Elvis.. but he’s a liar and.. qudsnen.co/david-lammy-co…
"Mwaka wa jana, korosho imeingiza zaidi ya Trilioni moja na Bilioni 300. lakini mkoa wa Mtwara wilaya zake zote hazijaunganishwa kwa lami. CCM haiwataki watu wa Mtwara. CCM haiwataki watu wa Kusini." KC Mstaafu wa @ACTwazalendo @zittokabwe Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
"Mwaka wa jana, korosho imeingiza zaidi ya Trilioni moja na Bilioni 300. lakini mkoa wa Mtwara wilaya zake zote hazijaunganishwa kwa lami. CCM haiwataki watu wa Mtwara. CCM haiwataki watu wa Kusini." KC Mstaafu wa @ACTwazalendo @zittokabwe Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Ahsante sana Mjumbe wa Kamati ya Uongozi Mkoa wa Kigoma, Ndugu Zakia Jumanne kwa kuchangia Tsh 20,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Ahsante sana Ndugu Arafa Uledi kwa kuchangia Tsh 50,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
