Mwalimu Nickson Kipangula
@MwlNickkp
🇹🇿 YESU NI JIBU
💥♦️CHADEMA VITANI ♦️ 💥🔜🔝 Ukiwaambia kuwa @ChademaTZ2 ni Mungu ameruhusu iwepo kwa matumizi yake ya baadae watu hawaelewi. Matukio ya hivi karibuni yanaonesha wazi kwamba badala ya Serikali kupambana na Chadema sasa wanapambana na Mungu Nakupa kwa uchache:- 1. Kukamatwa…

Humphrey Polepole anasema, Kwa mujibu wa Misingi na Desturi ya Chama cha Mapinduzi, Rais @SuluhuSamia uongozi wake unapaswa kukoma mwaka huu 2025. Hivyo anawashauri wanachama wa CCM warejee misingi na Desturi ya chama chao bila kuwepo na wahuni wakuipotosha misingi hiyo.
End Electoral Irregularities and Strengthen Democracy in Tanzania - Sign the Petition! chng.it/nTKTqhpMWq via @Change
binafsi, naheshimu uamuzi wa act-wazalendo kushiriki uchaguzi. lakini natamani waje na utetezi wenye mashiko badala ya "tutalinda kura." mgombea wako akitekwa wakati wa kurejesha fomu, utalinda kura ya nani? msimamizi akifunga ofisi? ukienguliwa? bila kupiga kura, utailindaje?
Mdau kupitia Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com amehoji kuhusu marufuku ya matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya Kupigia Kura, kama inavyoelekezwa katika Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Anahoji hatua hii…
Mbogamboga wanapelekewa moto wa kutosha habari ni #NoReformNoElection
KAZI YA KWANZA TUTAKAYOANZA NAYO - Kuondoa mabango yoooote #BadoPigoMojaFarao atafurushwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jambo la kwanza Mhe Tundu Lissu na Mhe Rais Samia walilozungumza baada ya kuonana Ubelgiji lilikuwa ni kuhusu kuondolewa kwa kesi ya Mbowe ya ugaidi. Jambo la pili ikawa ni kuhusu Maridhiano. Leo Lissu yuko Jela Mbowe anazungumza nini na Rais? Acha kukurupukia mambo bila utafiti
Kwa kauli hii ya Kamanda Muliro, inazidi kudhihirika bila shaka kwamba juhudi zetu za kudai mageuzi ya kweli siyo uhalifu, ni haki yetu ya kikatiba. Kauli ya #NoReformsNoElection siyo tishio kama wanavyotaka kuipotosha,bali ni kilio cha wananchi waliochoka kudhulumiwa, walioamka…
Kwa lugha ya sasa #NoReformsNoElection inaeleweka zaidi kwa @ccm_tanzania kwa sasa kuliko hata na @chadema wenyewe MUNGU YUPO KAZINI
Watu wananitumia hii clip,wanasema wamemiss hizi SWAGGA mjengoni. Mimi nawakumbusha kuwa mpaka kufika hapo,kuna watu WALIKUFA na wengine VILEMA mpaka leo kwa kupambana ili NITANGAZWE! NB:Siko tayari tena kwa Ubunge wenye DAMU za watu.Hata kama NAKUBALIKAJE! #NoReformsNoElection
Alichokiandika Msajili wa mahakama kwenye barua yake kama ufafanuzi. 1. Ndio lilikua lengo wakati wanapanga kesi na kutoa amri. 2. Bahati mbaya jaji aliandika hukumu nafikiri hakujua structure ya chama vizuri, akajikuta kwenye hukumu yake imemgusa Katibu mkuu na bodi ya…
Kazi ya kulinda kura sio yangu ni ya Tume na vyombo vya Usalam ikiwa kuna uhuru wa kimfumo na kikanuni. VINGINEVYO NAENDA KUUMIZWA ILI WATU WAPATE UBUNGE NA UDIWANI HUO UPUUZI SIUFANYI #NoReformsNoElection kwa Imani yangu ndo Suluhisho la kudumu la HUU UJINGA WOTE #LINDA KURA…
Watanzania Tujiulize, Katika Kesi Hii ya Kisiasa, Kwanini Serikali ya CCM Inataka Kuleta Mashahidi kwa Usiri?
Nimesoma Sheria ya mwenendo wa Makosa ya jinai, kanuni ya Ulinzi wa shahidi iliyotungwa hivi karibuni nimeshangaa sana, hakuna kabisa tofauti na Sheria mbalimbali Kandamizi zilizowahi kutungwa na wakoloni enzi zile. Kwamba Shahidi hatatakiwa kuonekana kwa mtu yeyote isipokuwa…
CCM ya Samia hata kutangazwa kama forms za Rais tayari zipo watia nia njooni haijafanyika. Wanaogopa nini kama mama anaupiga mwingi? #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu