Lembrus Mchome
@LembrusMchome
Mwenyekiti Mstaafu Bavicha (M) kilimanjaro Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda Haki
Siasa sio uadui, ila adui yetu sisi WAPINZANI ni chama cha mapinduzi (CCM). #C4C #ChaummaTunaendeaTulipoishia @JohnMallya @JonMrema @LembrusMchome @MwitaJulius2000
Siasa nzuri na yenye tija hujikita katika ujenzi bora wa hoja zenye tija na mashiko ambazo hujibu hoja za mpinzania wako, siasa za matusi kejeli na chuki ni kulimiza taifa na hizo ndio zimeigharimu @ChademaTZ2 na kuifikisha hapa ilipo. Tuwaze zaidi katika kuiondoa ccm madarakani.
Leo nlipata mwaliko wa @MozaAlly_ ikiwa ni siku yake ya kutangaza nia ya ubunge kinondoni. Moza nimehudumu naye katika kamati tendaji ya Bavicha 2019-2024 pia ukiacha siasa,tunakutana pia kwenye vikao vya familia. Siasa sio uadui. Kila laheri Moza katika safari yako.

Tar 29/10 watanzania wanakwenda kupiga kura za ama-kuiondoa ccm madarakani au kuanza safari ya miaka mitano tena ya maumivu. @ChademaTZ2 tumewakosea sana watanzania kwa kutoshiriki uchaguzi huu. Nilisema hatuwezi kuzuia uchaguzi sasa maccm yanakwenda kupita kilain kabisa.

Leo Tume wanatangaza ratiba kamili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika October mwaka huu. Wakati tunashauri kusain kanuni tuliitwa kila jina baya ila tuliona mbali namna ambavo tunairahisishia kazi ccm. Tuna miaka mitano tena ya kuibiwa,kuumizwa,utawala mbovu.Matokeo ya ujuaji.

Kuna taarifa zinasambazwa mtandaoni kwamba nimeshambuliwa na vijana wa @ChademaTZ2 kwenye mazishi ya rafiki yangu Albert naomba zipuuzwe hakuna fujo yeyote nliyofanyiwa chama chetu hakijafikia huo ujinga. Mimi nipo salama na tumemaliza salama kumpumzisha Albert.
Kikundi cha matusi je hii mmeiona?. Siasa sio vita ni umakini katika dhana nzima ya kujenga hoja zitakazo chachafya maendeleo ya taifa na watu kwa ujumla wake.

Huwezi kupeleka muswaada bungeni bila hiki kikao.Tunaedelea kùdanganyana kwamba @ChademaTZ2 tuna nafasi ya kushiriki uchaguzi kwamba reforms zitafanyika?.Sasa rasim Chadema hatutashiriki uchaguzi wa mwaka huu.Tulishauri wakubwa wakapuuzia haya ndio matunda.Maccm hayaogopi kelele

Kumuona Polepole hero ni kujizima data, akiwa mwenezi wa @ccm_tanzania ndio wakati demokrasia ya taifa letu ilipokwa kuliko wakati wowote,watu walipotea,kesi za kubambikizwa,wizi wa Mali za umma,kwenye chama chake form ilikua moja. Huo ushujaa mnaompa leo ameutolea wap?.
Hongera sana kaka @PatrickJAssenga kwa kutia nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Moshi mjini kupitia chama chako @ChaummaT ikawe heri kwako na team nzima. Uchaguzi ni sera na siasa safi ambazo zitadumisha undugu wetu.

“Duka limefungwa” “Januari 21, 2025 ilikuwa ni siku muhimu” “Tunalinda dhumuni na si Mtu” Mwamba mwenyewe sasa👇🏾😀
ANAANDIKA Mwamba ALEX MAYUNGA ( PhD ) toka USA. “Asante Mwalimu wangu! Walau tunakubaliana kinachofanyika ni kususia. Na nakubaliana na mifano yako ya waliosusia chaguzi, iwe ni Trade Unionists, Wanaharakati au Wanasiasa! Ninadhani tutakuja hukumiwa na hata na uchaguzi weti wa…
@godbless_lema kaka nomepishana na wewe hapa 519 street nimekuita umenukaushia ! Umemuacha Mwenyekiti na Kesi ya Mchongo ? Vipi tunazuia Uchaguzi au tunasusa? Goodnight
Siasa safi na bora inasimama katika kujenga misingi bora ya hoja ambazo zitaleta nuru na dira katika maendeleo ya Tanzania yetu. Wanasiasa vijana ni muhimu kufanya rejea ya siasa walizofanya watangulizi wenu ili kujijenga kisiasa na sio siasa uchwara mnazofundishwa na Bambucha.
Napenda kutoa pole za dhati kwa msiba huu wa ndugu Victor Sherejey , ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Bukoba Mjini . Huyu kwangu alikuwa ndugu na rafiki, kila mara nilipofika Bukoba alikuwa mtu mkarimu na mwenye kuujua vyema wajibu wake , alijituma sana .…
Wakati tunawaambia @godbless_lema ni mtu mwenye chuki binafsi na @freemanmbowetz hamkutuelewa taarifa rasmi kapiga magoti kapewa passport sasa hivi yupo Canada na mapambano kamwachia @HecheJohn. Huyu Lema ni tapeli wa kisiasa ni mtu wa fursa nyingi.
Kwakua msajili ni ofisi ya umma na inapaswa kua safi muda wote na kutokana na jana ndugu @ExMayorUbungo ameongea maneno ya kuichafua ofisi ya msajili hivo basi niiombe ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kutoa ufafanuzi au kuchukua hatua stahiki ili ndug Bon aweze kutoa ushahidi
Samweli Welwel wewe ni mwanasheria na mwenyekiti wa @ChademaTz kanda ya kaskazin kwanini unaamua kuvunja katiba ya chama kwa makusudi kabisa?. Mnaalika watu ambao sio wajumbe wa kikao cha mashauriano ili ihalalishe uovo mnaotaka kuufanya. Wajumbe halali wa kikao wanafahamika.
SIku ya kesho kitafanyika kinachoitwa kikao cha mashauriano mkoa wa Kilimanjaro kikao ambacho kwa mujibu wa katiba yetu mimi ni mjumbe lakin mpaka sasa sina taarifa. Natoa angalizo kikao hicho sio halali kwani hakina wajumbe.Maamuzi yeyote dhidi yangu ni batili. Akidi izingatiwe
Nashukuru sana kwa kunipa nafasi ya kuongeza marafiki ni watu wengi walikua wanatafuta namba yangu wanitie moyo kwa ambacho nakisimamia. Miamala ya kunitia moyo ni mingi sana sijaona tusi mpaka sasa. Nawashukuru watanzania kwa salamu zenu za upendo.
