Jerry Mtitu
@Mtitujerry
success is not an option.. God first #Mufc #SimbaSC Mkulima, mjasiliamali
14 Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake". MHUBIRI 7:14
“Haipo nafasi ya uovu kudumu milele. Uovu utaanguka mbeleni tu. Uovu utaanguka. Uovu unaoendelea sasa ni kipindi cha muda tu. Uovu utakapoanguka, huyo atakayekuwa madarakani katika kipindi chake ndiyo atapitia maumivu yote tunayopitia sasa” - Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, Ph.D
Kama unapata upinzani mkubwa wa kukuzuia usisome neno la Mungu, uwe na uhakika upinzani uleule unatumika kukuzuia usisikie sauti ya Mungu.
Si kila sadaka ni ya kupokea. ~Mwl Mwakasege.
Atakuwa sawa na fukara nyikani Yaani kuwepo porini na huna kitu yaani double loss Hata likitokea jema hataliona. Kumtegemea mwanadamu ni mtego mbaya sana
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha BWANA" YEREMIA 17:5
Jifunze Kuwaombea Mema Wenzako haitokupunguzia Kitu kwenye Maisha yako. #ElimikaWikiendi
Makosa ya wakati uliopita, ni hekima ya wakati ujao. #ElimikaWikiendi
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha BWANA" YEREMIA 17:5
"Lawama ya wazi ni heri, kuliko upendo uliositirika" MITHALI 27:5
"Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo yote ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo ndani yetu" WAEFESO 3:20
1 Yohana 3:1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika; kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu. Yak 1:19-20 SUV
🔹Kaa vizuri na Yesu 🔹Jitoe sana kwa mambo ya Mungu 🔹Soma sana neno 🔹Soma sana vitabu 🔹Sikiliza sana video za mafundisho 🔹Hudhuria semina kadri unavyopata nafasi 🔹Kuwa na muda wako binafsi wa kutulia na kutafakari maisha yako 🔹Epuka marafiki wabaya...
"Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi". UFUNUO 1;8
Mwangaza Wa Siku. ⛅ Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa; bali wema wangu hautaondoka kwako, wala agano langu la amani halitaondolewa; asema BWANA akurehemuye. ‘Isaya 54:10 SUV’
"Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema,Yeye atandaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu" 3 Yohana 1:11
Hakuna mambo ya " Pokeaaa" wala mambo ya kukanyaga "mafuta" hapa linafundishwa neno la Mungu lenye kuonya na kujenga. Anaitwa. Mwl. Christopher Mwakasege🙏
"Maana Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. majani hukauka na ua lake huanguka" 1 PETRO 1:24 #ElimikaWikiendi
Makosa ya wakati uliopita, ni hekima ya wakati ujao. #ElimikaWikiendi