๐ฉ๐๐๐ ๐พ๐ ๐ฝ๐๐๐๐๐ ๐ฎ๐ฑ|๐ท๐บ
@KamigakikuMbise
Son Of Jesus/ Entrepreneur/ Farmer/ Let Your Kingdom Come To Me๐๐พ/ Smile more than U cry/ Give more than U take/ Love more than U hate. ~|Psalms 128,46:1-3
Musa alipopanda mlimani kuongea na Mungu, Mungu alikaa kimya Siku sita bila kusema chochote. Alipoanza kunena naye siku ya 7 aliongea naye mfulullizo hadi siku ya 40. Muda mwingine Mungu hutupima uvumilivu wetu na imani yetu kwake. Ili ajifunue kwetu na kututendea mambo makubwa.
Dear young dads, USIPELEKE mtoto kanisani halafu wewe ukabaki kwenye gari. Unamharibu. Ibada, hata kama inaboa, huwa na thamani kwao pale watoto wamwonapo baba anashiriki. Labda home waliwahi kuona unafumba macho, lakini wamwone baba akifunga macho kanisani anakuwaje. It'sโฆ
If Liverpool sign Alexander Isak, their summer spending goes over ยฃ400M. At this point, we need a full investigation. ๐ฐ Financial Fair Play? ๐จ Bring in Interpol. โ๏ธ Court of Arbitration for Sport. โ 5-year ban minimum. This isnโt a rebuild. Itโs a hostile takeover.
โ๏ธNajua Hujui ngoja Nikujuze Kuna Kodi Mpya Ya Ukimwi upande wa Magari.. . Yani sasa hivi ukinunua/kuagiza gari lazima Wazee wa HIV Prevention/Care programs uwaguse.. . Serikali ina-target kuingiza Mapato ya Billion 586/yr kwa ajili ya kusaidia Mapambano ya Ukimwi.. . Iko HIvi๐
Si kila sadaka ni ya kupokea. ~Mwl Mwakasege.
Hello Dears โฅ๏ธ Ni week nyingine aliyo turidhia Mungu tuendelee kuwepo duniani tumshukuru๐ Hii ni nafasi nyingine ya sisi kuendelea kujipambania Iwe Week ya Baraka kwako Mungu akukutanishe na mema katika utafutaji wako Amani Iwe Nawe Mungu akulinde ๐โฅ๏ธ
Kuna sadaka si za kupokea hata kama zimetoka kwa mfalme, jenerali au yoyote yule, kwani zinaweza kukuletea upofu, ukoma au janga kuu. Gehazi alichukua sadaka ya Naamani (mkuu wa majeshi ya Shamu) na ukoma wake ukampata Yeye na kizazi chake chote. -RE; 2 Wafalme 5:20-27 SUV
Rt kanisa lako lione
Utii ni Bora kuliko Sadaka. Mungu aliikataa sadaka ya Mfalme Sauli aliyekuwa mkuu wa nchi kwa kutokumtii. ~Mwl Mwakasege.
Utii utii utii
Utii ni Bora kuliko Sadaka. Mungu aliikataa sadaka ya Mfalme Sauli aliyekuwa mkuu wa nchi kwa kutokumtii. ~Mwl Mwakasege.
Utii ni Bora kuliko Sadaka. Mungu aliikataa sadaka ya Mfalme Sauli aliyekuwa mkuu wa nchi kwa kutokumtii. ~Mwl Mwakasege.
Naamini MUNGU atakubariki zaidi, Kilichopatikana 3,427,800 Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA Mpesa +255766180656 Tigo pesa +255718626642 MISHALY .S. SUMARY Bank account CRDB :0152078706601
Sitaona haya Kukusifu Yesu Sitaona aibu Kukutaja๐ถ Wewe Yesu wee Wewee Yesu wee Nakupenda U mali yangu๐ถ
Jizoeshe kuombea afya yako ili uwe imara kuyatimiza yale unayoyakusudia.
Yeremia 17:5-6 Bwana asema hivi,Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.Maana atakuwa kama fukara nyikani,Hataona yatakapotokea mema;Bali atakaa jangwani palipo ukame,Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
Vile Mungu amemfanyia/kumsaidia mwingine ni Alama/uthibitisho kwamba hata wewe anaweza kukusaidia/kukufanyia hivyohivyo. Weka Imani! - Mwl C. Mwakasege -
Kuwa na hofu ya Mungu ni neema, sio kila mtu anayo. Kama una hofu ya Mungu, ishikilie usiipoteze, it's your identity.