Martin N Ng'ondya
@MartinNNgondya1
Muhas Alumni, Medical Lab. Shabiki Wa @SimbaSCTanzania 🦁& @ManCity 🌧️.
Happy Birthday To Me 🎊. Kheri Ya Miaka 61 Ya Mapinduzi Zanzibar.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…
Kesho, tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa chama, ambapo kikao hicho kitafanyika kwa njia ya mtandao (E-Meeting). Kwa mujibu wa Ibara ya 99 ya Katiba ya CCM, chama kina mikutano minane ya kitaifa, na kikao cha juu kabisa ni…
Hapo ujaingia mjengoni 😀😀
Kijana mwenzangu unapokuwa una mtetea kiongozi wa kisiasa juu ya tuhuma fulani au jambo fulani hakikisha upo kwenye kundi moja kati ya haya; 1)Una taarifa sahihi juu ya kiongozi unayemtetea au unajua ukweli wa hilo jambo. 2)Ni mnufaika wa moja kwa moja na huyo kiongozi. Usimtete…
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM Taifa Leo Leo, Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM ya Taifa inatarajiwa kuketi kwa ajili ya kupitia na kujadili majina ya wanachama waliotia nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho. Baada ya kikao hicho, Kamati Kuu ya Halmashauri…
Kwako @Sativa255 hongera kwa namna unavoendelea kutumika kwa lengo la kuwadanganya na kuwapotosha watanzania kwa kutengeneza propaganda nyeusi kuhusu CCM, Wa Tz hapa ndio utagundua kuwa hawa watu ni waongo na ni wazushi na hawana nia njema na Tanzania yetu ni wakupuuzwa tuuuuu
Mboga mboga MBEYA kimenuka.🫵🏾😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mbeya tuna Kaimu mwenyekiti WaChama mkoa......
Mboga mboga MBEYA kimenuka.🫵🏾😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Aliekua Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia. Maisha ya Awali na Jeshi: • Kuzaliwa: Alizaliwa mwaka 1943 Kijiji cha Kisinga, Kata ya Lupalilo, Tarafa…
Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TPA 2.TAA 3.NHIF 4.TCRA 5.PPRA 6.BRELA 7.HESLB 8.EWURA 9.TACAIDS 10.SUMATRA 11.TAKUKURU 12.TANROADS
"Uchaguzi si vita. Ni njia ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi. Baada ya kura, amani ibaki." - Hayati Benjamin William Mkapa.
Ndio kigezo cha kazi kaka? 😀😀😀
Medicine inasomwa UDSM, kuna watu waliwahi kulilia vyeti vyao viandikwe UDSM😂🙌🏿
Viongozi wa chama kata na Tawi.
Kaka @MartinNNgondya1 hivi hizi bodaboda na baiskeli zenye logo ya 🟢SSH nikiitaka naipataje?.. walengwa hasa ni kina nani?
Sema ni double standard humu. Shekhe Ponda kwenda ACT walitoa pongezi nzito 😀😀. Madeleka na wale wa chaumma wanapigwa spana. Iyo ndio siasa hamna uadui.
Haya ndiyo mambo ya siasa... Wakati wa kampeni za Urais wa TLS: baadhi yenu mliwaponda, mkatukana, na kudhalilisha waliokuwa wanampigia debe Sweetheart Nkuba alipokuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Boniface Mwakubukusi. Baada ya ushindi wa Mwakubukusi, mkawabeza na kuwacheka…
Nimekutana na Wakili Msomi SWEETBERT CHARLES NKUBA akiponitembelea Ofisini Kwetu kunijusha .Huyu alikuwa Mgombea Mwenzangu kwa nafasi ya Urais wa TLS akiniambia kuwa amesikia wito na ameitika Kuomba ridhaa ya kutumika kama Mbunge JIMBO la KAHAMA MJINI. Ungeniuliza Maoni yangu…
Hapa ule msemo wa "Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu" una apply au laa?
Nimekutana na Wakili Msomi SWEETBERT CHARLES NKUBA akiponitembelea Ofisini Kwetu kunijusha .Huyu alikuwa Mgombea Mwenzangu kwa nafasi ya Urais wa TLS akiniambia kuwa amesikia wito na ameitika Kuomba ridhaa ya kutumika kama Mbunge JIMBO la KAHAMA MJINI. Ungeniuliza Maoni yangu…
Encouraged by the determination of our @WHO team in Congo 🇨🇬. Today, I had the opportunity to meet & listen to their experiences. We shared thoughts on strengthening support to the government & people of Congo. Grateful for the warm welcome & the thoughtful gift. #ProudToBeWHO
2030 njia nyeupe.......
Ile kumpa Nchimbi nafasi ya kuwa Mgombea mwenza tu ilikuaa goal la ugenini. 😅
😀😀😀
This is an impressive skill, ila natumaini sana kua ofisi yako inakupa bima ya afya na wanafanya malipo ya Workers compensation fund on time.
Kosa langu ni nini mkuu?
Nilikuwa nakuheshimu Sanaa ilaa 🤓 😀
• Kupunguza expectations kwenye maisha • Kutokujilinganisha na wengine kupitia tofauti za vipato; kumbuka kuna vitu hauwezi kuvipata maishani kwako na pia, kuna vitu hautadumu navyo kamwe • Kutokukaa kimya mambo yakiwa hayako upande wako,
Vijana wenzangu tuzungumze tunaepukaje janga hili la kujiua?