Dr. Mlaluko, MD
@drmlalukoMD
|TheResidentOphthalmology|HealthJournalist|HealthEyeAdvocate|ADoctorYouWishToMeet|iCareAboutYourEyes|Founder @jukwaalaafya|Businessman|Married&Father|Amenable|
Nilishapoteza rafiki zangu kadhaa kwa ugonjwa wa Hepatitis B. Vijana makini na wenye ndoto kubwa. Ima jamii ingejua uhatari, wangekuwa wanapima Hepatitis B kabla ya kuwa na wenzi wapya. Kwangu Hepatitis ndio ugonjwa tishio zaidi.!
HIV does an evil work here unduly. "UKIMWI Ni kama Malaria" is a scam to our beloved community. Take care!
Daaah,,noma sana
Mimi sio kumpoteza tuu Bali alinifilisi kabisaa baada yakumuazima pesa yangu yote kwakumuamini mpaka leo hata sijui alipo amefanya maisha yangu yamerudi nyuma sana
Mimi sio kumpoteza tuu Bali alinifilisi kabisaa baada yakumuazima pesa yangu yote kwakumuamini mpaka leo hata sijui alipo amefanya maisha yangu yamerudi nyuma sana
Ajabu sana,,, Wengine wanataka tu warushiwe majini naona Kama hiyo 2m daah!
Kuna Dr momja ni mshikaji wangu nilimuazima 2m mwez wa 4 simu yangu hapokei Huwa namuwaza hivi vijana ndo tumekuwa wa hovyo ivi
Kuna Dr momja ni mshikaji wangu nilimuazima 2m mwez wa 4 simu yangu hapokei Huwa namuwaza hivi vijana ndo tumekuwa wa hovyo ivi
Kuna ndugu/marafiki hawapotei wanarudi kukopa tena bila aibu😂😂
Very true, binafsi nmepoteza weng san,baada ya kuwakopesha
Kwa kweli bingwa..haha
Bingwa yamekushinda leo umeamua uteme nyongo😂
Bingwa yamekushinda leo umeamua uteme nyongo😂
Msiseme hivo mi kuna co worker nimempa 210k alisema wiki mbili atarudisha leo mwezi wa 3 sijaona hata 50😮💨
Roho inaniuma sana nikikumbuka mwanangu mmoja 200k tu mpaka leo na block nimekula kila sehemu🙌🏽💔
Mi ndugu au rafiki akitaka mkopo nampa nusu ya aliyotaka. Maana najua silipwi
Tumepoteza ndugu na marafiki baada ya kuwaazima fedha zetu.