Thomas J. Kibwana
@thomasjkibwana
Tanzania Kwanza. I occasionally appear on T.V. and Radio. I piss off nameless and faceless accounts. Unofficial brand ambassador for Tanga.
Ephs 3:20 Never doubt God’s mighty power to work in you & accomplish all this. He will achieve infinitely more than your greatest request, your most unbelievable dream, & exceed your wildest imagination! He will outdo them all, for his miraculous power constantly energizes you.
Yericko kwa Chadema ni sawa na Yuda kwa Yesu 😃.
Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani Tz hasa nyie ACT na CHAUMMA mmegeuka kuwa madalali na waeneze wa Vikao vya vya urais vya maccm. Yaani 24/7 kurasa zenu zimechafuka post za maccm tu, mnajifanya kama mnawaponda maccm vile huku agenda yenu ni kuwatangazia mikutano na vikao vyao,…
Kesho, tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa chama, ambapo kikao hicho kitafanyika kwa njia ya mtandao (E-Meeting). Kwa mujibu wa Ibara ya 99 ya Katiba ya CCM, chama kina mikutano minane ya kitaifa, na kikao cha juu kabisa ni…
Kaka kama chakula tu unatafuna hivi si utatafuna sana kodi zetu ukiwa mbunge. Tweet hii iwafikie Kamati ya Ulinzi na Maadili ya CCM 😁
Kijana mwenzangu unapokuwa una mtetea kiongozi wa kisiasa juu ya tuhuma fulani au jambo fulani hakikisha upo kwenye kundi moja kati ya haya; 1)Una taarifa sahihi juu ya kiongozi unayemtetea au unajua ukweli wa hilo jambo. 2)Ni mnufaika wa moja kwa moja na huyo kiongozi. Usimtete…
Haya yenyewe nimebakisha bando na elfu 5 tu 😂.
Hivii Ushawahi Kuishiwa mpaka ukabaki na 20,000 tu ndani kwenye maisha yako..?
Kaka wewe haujaenda kwenye marathon umeenda kwenye "beerthon" 😃.
Sisi tunaendelea na Marathon
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM Taifa Leo Leo, Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM ya Taifa inatarajiwa kuketi kwa ajili ya kupitia na kujadili majina ya wanachama waliotia nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho. Baada ya kikao hicho, Kamati Kuu ya Halmashauri…
Dah ningejua mapema ningepita fomu. Na 2030 sitakua kijana tena 😐.
Maombi ya Vijana Yanajibiwa Moja baada ya jingine
Tuna sali na kuombea familia kabla hatujaingia ndani.
Why do men stay in the car for minutes after arriving home?
Mzee huyu nilimfahamu akiwa mgombea ubunge iringa mjini na mfulamagoha ulanziwang'ombe. Hassan Kibeseni kitine alilsoma USA na mwana wa magharibi kweli kweli arimaarufu Hassy Bezain Kitaine. Akabwana na mwalimu wa mwembetogowa secondary.
Aliekua Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia. Maisha ya Awali na Jeshi: • Kuzaliwa: Alizaliwa mwaka 1943 Kijiji cha Kisinga, Kata ya Lupalilo, Tarafa…
Liberation struggles: Why Tanzania’s legacy lives on in South Africa dailynews.co.tz/?p=40598
Digital Tax ilianza kazi mwaka jana na baadhi ya Kampuni; Meta, Quickbooks, Google wanalipa kodi VAT kuja TRA! Kwasasa kama una VRN ya TRA au TIN unaweza claim kwenye expenses! Mkanganyiko ni kwa biashara za Zanzibar, tunakatwa hizo VAT ila ZRA hawakubali hizo VAT za Digital Tax.
TRA wangejitahidi kuchukua hela kwa kampuni za nje zinazofanya kazi Tanzania na zinapokea malipo badala yake wanawaogopa wanashusha mzigo kwa Mtanzania. Meta wanachukua hela ila VAT anawalipia mtanzania. 😂
Watu wote wa system mmeenda Dodoma kwenye marathon Dar mmetuacha majobless 😃 .
....
Ghaii kumbe wadada hawataki wanaume wakue too perfect haha. Like unajua kila kitu hadi kupika Chapati 😂
Ni 35 yrs sio 33 baada ya kutoka monduli akarejea dsm alipanda cheo badae akahamia upande wa pili
Kuna mtu muda huu alikua kashapanga kuchomoka mara moja kwenda Dodoma kwenye marathon ila boss katangaza kuna kikao cha dharura kesho na kila mtu afike bila kukosa😃.
Wameona zile transactions zako za Selcom 😂😂😂. Itakua @GoodluckMalekoJ kakuchomea.
TRA wamesikia sisi wote tunaingiza $100/hr😆😆😆
Kaka kwa mtindo huu Katiba Mpya tuta pata kweli? Au kazi na dawa?
Shangazi tunajua bhana embe halianguki mbali na mti wake😂😂😂, tutamtafuta tu tuyajenge😎.