CHALII YA R
@Jogona_
My hobby is Travelling
Tofauti kubwa ya Fedha na muda, nikwamba siku zote utajua una pesa kiasi gani lakini kamwe uwezi jua una mda kiasi gani, Kwahyo ndugu live a good present, tomorrow is inshallah!.
Kama umeamka na unaenda kutafuta riziki; kuwa makini sana; Kuwa makini uki-drive Kuwa makini ukipanda bajaj/boda Kuwa makini ukivuka barabara Kuwa makini na unachokula Kuwa makini usigombane na mtu Wanaokutegemea wana imani kubwa sn na wewe; wanakusubiri home urudi mzima GM🌞
Kutafuta ni Jukumu Lako Kupata Tumuachie Mungu.....Napatikana Iringa Kwa 0710191920
Mnaenda kwenye ziara badala ya kujenga hoja dhidi ya ccm mnahangaika na ajenda ya #NoReformsNoElection !!! Elezeni watu hoja zenu, wambieni watu mnachotaka kufanya… msimamo wetu uko palepale na ndio msimamo wa wananchi Mnasema mkipata wabunge hata watatu mtazuia ccm bungeni…
"Hakuna kitu chenye thamani kama Muda" Ukisoma kwa haraka uwezi kunielewa!.

Kupoteza watu wawili wa familia kwa pamoja, very sad moment, Mungu awape tumaini, Aisee!. 🥹😭
Hapa bila subtitle na kamusi juu uwezi toboa 😃😃😃
Diamond Platnumz Interview Cut Short in New York After He Couldn't Answer English Questions, Watch👇
Meli huwa ipo salama ikiwa kwenye fukwe lakini haikutengenezwa kwa Ajili ya kukaa ufukweni.
NAITWA MISHALY .S. SUMARY Naomba Unisaidie/ Mnisahidiea Mimi ni mgonjwa Miaka 14 kitandani, Nilivamiwa na watu wasio faamika mwaka 2011 wakanivunja Uti wa mgongo, Shingo, Nyonga, Taya na meno, pia walinichana midomo, nilipelekwa hospital ya mkoa nikapatiwa huduma ya matibabu
Wazazi wetu walituambia tumalize kazi ndo tukacheze. Walikuwa wanamaanisha starehe ni matokeo ya kuwajibika kwanza. Wazazi wetu walipotuambia fungeni midomo msiongee wakati wa kula.. Walikuwa wanamaanisha msijielezee sana, kwenye mnachokifanya kwa ubora.. Wazazi wetu…