LaIsa
@IsaRouhan13797
أنا لا أخاف من ضجيج الناس، أنا أعرف من أين أتيت.✨
Sahihi 💯
"Kwenye uhamisho wa Sowah kwenda Simba,klabu ya Singida haijaingiza hata 100. Sowah amejiunga na Simba bure hii ni baada ya mazungumzo ya Mo na Mlezi wa Singida.Zile habari za 1B ni uongo,Sowah hajauzwa. Ikumbukwe Sowah alikuwa na mkataba wa miaka miwili na Singida" HANS RAPHAEL
Wengine wanaishi kutafuta pa kupumzika, sisi tunaishi kuhakikisha hatupumziki
Kutoka mavumbini Manzese mpaka kupaa kwenye sayari ya dunia—ishi sana mdogo wangu, maisha hayana rehearsal🫶

🚨 Klabu ya Simba SC ipo tayari kutoa kiasi cha pesa cha USD 500K (Tshs Bilioni 1.2) kwenda Azam FC lakini italipa nusu yake USD 250K (Tshs Milioni 630) na nyingine watalipa baadae Azam FC wamekataa wanahitaji kiasi chote na bila hivyo hakuna biashara na Simba SC kwa Feitoto.
@soka25east We are celebrating 🍾 our 10th anniversary ❤️ its been a roller coaster ride covering African football ⚽️ since the inception of our website . We have given opportunities to many young journalists across Africa who have made a name for themselves. It's not been an…
Usipende kuomba ushauri kwenye kila maamuzi unayotaka kufanya kwenye maisha yako. Wakati mwingine fanya maamuzi mwenyewe, jenga kujiamini kuwa unaweza kufanya maamuzi sahihi. Na ikitokea umekosea, ndiyo kujifunza. Ishi na funzo, wakati mwingine hutokosea tena.
Itakuwa wewe mgeni kwenye Page yangu. Sijawahi kufumbia macho ujinga wa aina yoyote anaofanyiwa Raia. Ingia kwenye account yangu alafu search mada unayoitaka, utapata majibu. Kuwa Mzalendo wa Nchi haikufanyi uwe mjinga
Tanzania ni tajiri kwa rasilimali na uzuri wake, hatuna tatizo na nchi. Tatizo ni viongozi wanaogeuza utajiri wa taifa kuwa wa kwao binafsi, huku wananchi wakibaki maskini. Sasa kama wewe unafunika maovu ya viongozi kwa kisingizio cha uzalendo, basi wewe si mzalendo
Nchi kama Tanzania unaionea kwa kuipa hizo shutuma. Nchi haifanyi mambo hayo. Wewe unaongelea Viongozi au Wadhalimu wanaokandamiza mifumo ya maendeleo. Nchi kama Nchi ni Tajiri na inapaswa kupewa Maua yake.
Nchi kama Tanzania haifanyi wananchi kuwa masikini kwa bahati mbaya, bali mfumo wake umeundwa kuwanyonya na kuwazima. Wenye nacho wanazidi kushiba, maskini wanazidi kusahaulika
Hao unaowataja wengi hawana Uzalendo na ndio mana wapo busy kula bata kupitia pesa za Raia. Mzalendo ni yule anaeweza kujitoa kwa Nchi yake na sio vice versa. JF Kennedy alisema "Uliza nini utaifanyia Nchi yako na sio nini Nchi yako itakufanyia wewe".
Salafi wanapenda kuhubiri bidaa kwa wengine, ila wakikosea wao inakuwa ni 'sahihi kwa msimamo wa salaf'. Mchezo wa akili huo
Bida'a na Maasia sio tofauti ndg kwenye Dini!!!
Mpenzi Wako Anakuruhusu Uchezee Sehemu Zake Za SIRI Kadri Uwezavyo Lakini Hataki Ushike SIMU Yake Wale Hataki Ujue PASSWORD Yake Ya Simu Kuna Kipi Hasa Anakificha? Wanaoongoza Kua Na Wapenzi Wengi Ni Walioko Kwenye Ndoa/Mahusiano Pia Hawa Ndio Wanaongoza Kwa Maambukizi Ya HIV
Unajivunia nchi ambayo inaweza kukupoteza fasta kama radi aagh sio kweli.
Yap, nafurahi kuona hata Wakenya wakijivunia Nchi yao. Utakuwa mzembe usipokuwa Patriotic
Idadi ya mitumba tunayoingiza inabidi ifike hatua iwekewe chujio, tunaingiza uchafu mwingi kupita kiasi. Mkataba wa AGOA unaisha mwaka huu natamani serikali isirenew huu mkataba. Tukishindwa kabisaa tuchague aina ya mtumba na ubora unaotakiwa kuingia.
Masalafi wajiangalie mwenyewe kabla ya kuanza kupiga kelele za ubaguzi! Hawaelewi kuwa upendo wa kweli haujengi mizozo bali unafuta tofauti! Kuwakemea ndugu kwa sababu ya tofauti kidogo ni dalili ya ukosefu wa maarifa na hofu ya mabadiliko. Waislamu, tusiruhusu hili🤝
Mtu akikwambia kwamba Eti kuna Vitu Mtume swala na salamu ziwe juu yake hajafundisha juu ya Umma huu huyo ni Muongo Mkubwa tena Dajjal!! Ujinga wake wa kutokusoma na kujua mambo ya Dini yake haufanyi kuwa Mafundisho hayapo!! Kwani miongoni mwa Dalili za kiama ni kuziru Ujinga.
Masalafi, acheni chuki za Waislamu na magomvi yasiyo na maana! Ukipenda dini yako, onyesha heshima — si kuwa mlevi wa kejeli na mabaguzi! Kila mtu ana haki ya kuhudumia Allah kwa njia yake, lakini sisi sote ni ndugu! Chuki zenu za kijinga zinaumiza zaidi ya dini! Kuwa na akili,🤝
Chuki dhidi ya Masalafi kwa Ujinga kama hivyo haitokufaa kitu mbele ya Allāh zaidi itakudhuru tuu!!!
Ee Bwana utuwezeshe kutambua kwamba ni wewe pekee ndiye mgawaji wa riziki zetu za kila siku.🙏
Mji wa Serikali wa Magufuli City uliopo Mtumba Dodoma. Hapa kuna mejengo ya Wizara zote na baadhi ya taasisi za Serikali. Pia kuna eneo lilotengwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Balozi na Mashirika ya kimataifa ya umoja wa mataifa.