Futbal Planet ✴️
@PlanetFutbal
OFFICIAL FPM TL ACCOUNT. 🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS
🚨 JUSTIN: Klabu ya Simba inatarajia kutangaza kusaini Mkataba mpya na Kampuni ya Kubashiri ya Bet-Way mara baada ya kuvunja Mkataba wake na M-Bet.


🚨 OFFICIAL; Beki Che Malone fondoh 🇨🇲 amejiunga na USMA 🇩🇿 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba SC 🇹🇿


🚨 JUSTIN; Klabu ya Yanga SC wamethibitisha kuwa Maxi Nzengeli 🇨🇩 ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kuitumikia Yanga SC hadi mwaka 2027.

🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Wachezaji watatu wa Yanga walioongeza mikataba ya kuendelea kusalia Yanga mpaka June 2027. . 🇨🇩 Maxi Nzengeli 🇹🇿 Dickson Job 🇮🇪 Pacome Zouzoua
🚨 JUSTIN; Simba SC tayari wamekamilisha Usajli wa winga Mohammed Bajaber. Kwa mujibu wa ripoti Kutoka Kenya zinaeleza kuwa Bajaber hatakuwa sehemu ya Kikosi cha Kenya kitakacho shiriki michuano ya CHAN na tayari ameondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Kenya ili ajiunge na…


🚨JUSTIN; KMC FC wameingia mkataba na Kampuni ya vifaa ya JUSTFIT kwa ajili ya kuwavalisha msimu ujao wa 2025/2026.


Samba Ball Samba Ball Samba Ball Samba ball Samba Ball Samba Ball 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
🚨JUSTIN; Mchezo wa kwanza wa kundi 'A' wa CHAN 2024 kati ya Kenya dhidi ya DRC Congo utakao chezwa pale Moi kasarani, Tiketi za mchezo huo zote zimemalizika (SOLD OUT) zikiwa zimesalia siku sita (6) kuelekea mchezo huo utachezwa Agosti 3,2025.


"Kwenye uhamisho wa Sowah kwenda Simba,klabu ya Singida haijaingiza hata 100. Sowah amejiunga na Simba bure hii ni baada ya mazungumzo ya Mo na Mlezi wa Singida.Zile habari za 1B ni uongo,Sowah hajauzwa. Ikumbukwe Sowah alikuwa na mkataba wa miaka miwili na Singida" HANS RAPHAEL


Sisi kulijaza dimba la Benjamin Mkapa bila hamasa hatutoboi Kabisa. 😎
Tiketi za mchezo wa kwanza wa Kundi A michuano ya CHAN 2024 utakaochezwa katika uwanja wa Moi Kasarani kati ya Kenya dhidi ya DRC Congo zimemalizika [SOLD OUT], Mchezo huo utachezwa Agosti 3,2025,Wananchi wa Kenya wameamua haswa mchezo wao wa kwanza ni FULL HOUSE.
Tiketi za mchezo wa kwanza wa Kundi A michuano ya CHAN 2024 utakaochezwa katika uwanja wa Moi Kasarani kati ya Kenya dhidi ya DRC Congo zimemalizika [SOLD OUT], Mchezo huo utachezwa Agosti 3,2025,Wananchi wa Kenya wameamua haswa mchezo wao wa kwanza ni FULL HOUSE.
✅Wakala wa wachezaji, Abou Dagamaissa tayari amesha kamilisha dili la uamisho wa Lassine Kouma Kwenda kwa Wananchi. Abou Dagamaissa bado ana bidhaa za Kutosha Dukani kwake kwa ajili ya NBC PL 🇹🇿 A man on Business 😎🔥